Watanzania wafupi mno mpaka imekuwa kero sasa!

Long time nimekuwa mbali kidogo na nyumbani, sasa nimeamua kuja kupumzika kidogo nyumbani, aisee watanzania ni wafupi mno utadhani vitoto vidogo, kila ninaemuangalia nakaona kama katoto, vimwili vidogooo vifupii.

Nina urefu wa 1.91m, sehem ninayoishi urefu wangu ni wa kawaida sana, sihesabiki kama mrefu ila tanzania dah! kila ninaepishana nae nahisi ni mtoto wa shule ametoka masomo ya jioni!!

Tukiachana na maswala ya genetics, kuna haja ya kutoa elimu kuhusu milo kutolewa kwa kila familia!!

Matatizo ya akili utakuta kilikuwa states kinakuja tuletea shobo oo wafupi sijui imepanda imeshuka sawa tushajuwa ulikuwa mbele
 
Long time nimekuwa mbali kidogo na nyumbani, sasa nimeamua kuja kupumzika kidogo nyumbani, aisee watanzania ni wafupi mno utadhani vitoto vidogo, kila ninaemuangalia nakaona kama katoto, vimwili vidogooo vifupii.

Nina urefu wa 1.91m, sehem ninayoishi urefu wangu ni wa kawaida sana, sihesabiki kama mrefu ila tanzania dah! kila ninaepishana nae nahisi ni mtoto wa shule ametoka masomo ya jioni!!

Tukiachana na maswala ya genetics, kuna haja ya kutoa elimu kuhusu milo kutolewa kwa kila familia!!
Umevuta hadi uone watu wote ni wafupi?
Labda ungetueleza kuwa ulitembelea uchina ndiyo ukakumbana na hiyo hali.
 
Jina lako (kijanamtanashati) linaonesha kabisa kuwa wewe ni mtu unayejisikia na kujiona bora kuliko wengine, so siishangai hii mada yako!
 
Kuna wakati timu yetu ya Taifa ikicheza na Ivory Coat ama Cameroun unaweza dhan Taifa Stars ni Watoto. Imagine Kichuya anapigwa tackling na YayaToure. Elimu ya Lishe ni muhimu mno kwa sasa, watoto wamedumaa sana ukiongezea na baa la njaa sijui miaka 5 mbele itakuwaje. Hili suala ni inshu ya Kitaifa ingawa mleta mada kaileta kwa mpasho lkn ujumbe umefika.
 
Hivi ushawahi kufika Mexico, Bangladesh, China, Japan, Uarabuni na hata USA. Kuna watu wafupi wengi sana USA sema population yao ipo juu sana zaidi ya Tanzania . Wa British nao wafupi pia hafadhali Wataliano kidogo.

Ndukiiiii
 
Hi hiii, mkuu umerusha jiwe gizani... C unaona mapovu yameanza kuwatoka? Ila unachosema ni cha kweli, asilimia themanini ya Watanzania ni vi short chasis... Angalau Wasukuma, Wahaya na Wachaga wanatubeba beba. Lasivyo taifa lingekuwa taifa la vi andunjeee....
Wanakyusa ndio wanawabeba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom