Kwani wao ni Chris lukosi? Nakumbuka Chris lukosi alichangisha.. pesa za rambirambi za msiba wa marehemu Mwangosi (RIP Mwangosi ) kisha pesa alizotakiwa kupeleka kwa wajane akazila...Chris lukosi ana laana ya kula pesa za wajane.Zile pesa za rambirambi walitia kwapani
Ndio zilishaisha..so toa mchango wako.Kwani zile walizochangia kina Hans Pope pale Mlimani City zilishaisha?
Watanzania wapenda mabadiliko tunawajibu wa kuwaunga mkono wabunge wa UKAWA Kwa kuwachangia fedha zitakazowasaidia kuendesha mikutano yao nchi nzima iwapo CHADEMA watashinda kesi dhidi yal polisi na wao kuendelea na mikutano yao kama walivyopanga.
Vile vile kama wale wabunge wa UKAWA waliobaki Dodoma hawalipwa hata perdiem, fedha itakayopatikana itumike pia kuwarudishia fedha walizotumia kukaa Bungeni mpaka sasa maana hawabaki Dodoma kwa masilahi yao bali ni katika kutupigania sisi watanzania masikini. Tunaambiwa hivi sasa wanaendesha vikao vyao katika ukumbi wa Msekwa huko Bungeni.
Watanzania hatuna budi kuwaunga mkono wabunge hawa na si kuwaacha peke yao kwani mzigo wanaoubeba si wao bali wanaubeba kwa niaba yetu.
Naomba uandaliwe utaratibu naamini wengi watakuwa tayari kuchangia.Hatupaswi kuwaacha wabunge hawa bila msaada.
Michango ya aina hii itakuwa ni kielelezo tosha cha nguvu ya umma katika kutafuta haki na usawa kwa wote.
Ebu toeni njia mbadala au vyanzo vipya vya mapato mnavyovijua, tayizo lenu mnakosoa ila hamna pendekezo mbadala. Mtaishia back benching forever!!Wanyonyaji ni kina nani kama sio nyie mlioshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato badala yake karibu kila mwaka mnapandisha kodi ya vitu vile vile na kumpa mzigo mwananchi kisa mmekosa ubunifu.
Wewe unapofiwa na ndugu zako na watu kukuchangia ni kwa vile umefilisika? Kuchangiana ni utamaduni wa kuonyesha kuungana mkono katika jambo lolote
Hakuna mtutu uliowahi shinda nguvu ya umma.Hata kama mahakama ikiwaruhusu wafanye mikutano Polisi endeleeni kuwatandika virungu na muwavunje hata miguu tumechoka siasa za kipumbavu tujenge uchumi maisha ya Watanzania yanakuwa magumu kila kukicha ,kila siku maandamano mikutano isiyo na kuchwa wala miguu,Dr Slaa alimwambia JK 2010 kuwa nchi haitatawalika na bahati mbaya JK akacheza ngoma yao mara katiba mpya,kuwaita ikulu,mara vurugu za Arusha,Morogoro,Mafinga vurugu tupu,walimpotezea muda na marengo JK
Safari hii mtavunjwa miguu yenu msituchezee.
mabadiliko ya kuzungusha mikono?Watanzania wapenda mabadiliko tunawajibu wa kuwaunga mkono wabunge wa UKAWA Kwa kuwachangia fedha zitakazowasaidia kuendesha mikutano yao nchi nzima iwapo CHADEMA watashinda kesi dhidi yal polisi na wao kuendelea na mikutano yao kama walivyopanga.
Vile vile kama wale wabunge wa UKAWA waliobaki Dodoma hawalipwa hata perdiem, fedha itakayopatikana itumike pia kuwarudishia fedha walizotumia kukaa Bungeni mpaka sasa maana hawabaki Dodoma kwa masilahi yao bali ni katika kutupigania sisi watanzania masikini. Tunaambiwa hivi sasa wanaendesha vikao vyao katika ukumbi wa Msekwa huko Bungeni.
Watanzania hatuna budi kuwaunga mkono wabunge hawa na si kuwaacha peke yao kwani mzigo wanaoubeba si wao bali wanaubeba kwa niaba yetu.
Naomba uandaliwe utaratibu naamini wengi watakuwa tayari kuchangia.Hatupaswi kuwaacha wabunge hawa bila msaada.
Michango ya aina hii itakuwa ni kielelezo tosha cha nguvu ya umma katika kutafuta haki na usawa kwa wote.
Kama kawaida mnataka kuwafanya WATANZANIA ni SACCOSS YENU...maana FEDHA HUWA MNACHANGISHA mwisho wa siku MATUMIZI YENU UWA HAYAFAHAMIKI KWA WANANCHI....afu hao wabunge walioko Dodoma wanaolia njaa si makosa yetu sisi Wananchi...aliyewatuma kutoka nje saivi yupo mkoa analamba per diem kutoka chamani
Hiyo haina shida weka namba ya account
Ela iko wapi hiyo.....Watanzania wapenda mabadiliko tunawajibu wa kuwaunga mkono wabunge wa UKAWA Kwa kuwachangia fedha zitakazowasaidia kuendesha mikutano yao nchi nzima iwapo CHADEMA watashinda kesi dhidi yal polisi na wao kuendelea na mikutano yao kama walivyopanga.
Vile vile kama wale wabunge wa UKAWA waliobaki Dodoma hawalipwa hata perdiem, fedha itakayopatikana itumike pia kuwarudishia fedha walizotumia kukaa Bungeni mpaka sasa maana hawabaki Dodoma kwa masilahi yao bali ni katika kutupigania sisi watanzania masikini. Tunaambiwa hivi sasa wanaendesha vikao vyao katika ukumbi wa Msekwa huko Bungeni.
Watanzania hatuna budi kuwaunga mkono wabunge hawa na si kuwaacha peke yao kwani mzigo wanaoubeba si wao bali wanaubeba kwa niaba yetu.
Naomba uandaliwe utaratibu naamini wengi watakuwa tayari kuchangia.Hatupaswi kuwaacha wabunge hawa bila msaada.
Michango ya aina hii itakuwa ni kielelezo tosha cha nguvu ya umma katika kutafuta haki na usawa kwa wote.
Kuchangiana huko kwenu kwenye maharusi kila sikuWewe unapofiwa na ndugu zako na watu kukuchangia ni kwa vile umefilisika? Kuchangiana ni utamaduni wa kuonyesha kuungana mkono katika jambo lolote
Malipo ni hapa hapa dunianiHawa ndio waliomtosa Dr.slash?