Watanzania tulimuonea sana Mh. Dr. Jakaya Kikwete

Ndio maana, kipenzi cha watu JKII anaitwa Dkt. wa democracy...
Mungu akupe afya njema mzee wa watu, rais wa watu, mvumilivu... JKII
Mlikua mnapata pesa bila ya kufanya kazi. Ulikua ni ufisadi, umangimeza, uhujumu, wizi wa pesa za wavuja jasho wanyonge, yeye alikua mpole maskini. Mlimpenda!!! Madeni mengi yamekopwa, pesa zimetumi kwa matumizi ya kawaida. Mlimpenda!!! Ujinga mtupu.
Hapa Nazi too!!?!
Halafu nashangaa wanasema eti serikali ya matamko! Wakati miujiza ambayo Magufuri kayafanya hata Dunia imempa credit Nyie hamuoni?
 
Umesahau kuwa Kikwete ndiye aliyetuletea huyu unayemlalamikia? Bila sarakasi zake unafikiri leo rais angekuwa nani? Umesahau kuwa ndiye aliyetia sahihi hii sheria ya makosa ya mtandao? Unajua kuwa ndiye alituvurugia mchakato wa katiba mpya, katiba ambayo ingetupa tume huru ya uchaguzi na kututatulia matatizo yetu mengi; tena baada ya kuuanzisha yeye mwenyewe na kutumia mabilioni ya pesa? Ufisadi?

JK ni mwanasiasa mahiri sana lakini strategically ni mwanasiasa hatari. Kama unabisha kawaulize hawa wanaogombania chai hapa.
5ca322183894480c87c72d685a31352c.jpg
Hahaaaaa eti wanagombania chai..
 
Ni kweli mkuu nchi inaenda vizuri kuliko awamu iliyopita ,bei ya sukari imeshuka, unga mchele vimeshuka bei,uchumi wetu unakua, mishahara ya wafanyakazi imeboreshwa, madawa yamejaa telee hospital, yaani serikali hii ya awamu ya tano ni kiboko kabisa achaaaaa
Pia serikali ya wanyonge imewajali wanyonge waliobomokewa nyumba kagera,

imewasaidai wanyonge waliokosa mazao kwa sababu ya ukame,

imewanunulia ndege ili mama wajawazito na wagonjwa wawahi vituo vya afya kupata huduma,

imewaajili madaktari na walimu kuziba mapengo huko vijijini waliko maskini na wanyonge,

imeleta usawa kwa kutoa huduma na nyazifa bila kujali kabila, Chama, rangi wala kitu chochote,

Watoto wa maskini wenye uhitaji wa mkopo kujiendeleza kielimu wote kabisa kabisa wamepata mkopo kama walivyoahidiwa "... hela zenyewe ni mkopo halafu eti MUNANYIMWA... mimi nitawapa wote bila kujali nini wala nini..."

Na mengine meeeeeeeeengi mazuri mazuri kabisa
 
Mkuu nitakukumbushwa mwezi wa saba. But amini kuwa magu ni mtaalamu na ameshajua wapi pakushika.
Nakwambia atatawala bila mtu yeyote kuleta fyokofyoko
alishindwa yahaya itakuwa magu?
Huyu nguvu ya soda believe me Yale matamko ya kipuuzi now wame reverse sukari tu inayoyeyuka kwa Maji ilimshinda nchi ataweza?
 
Nianze kwa kuwatakia heri na baraka tele ziwe kwenu mwaka huu wote wa 2017

Wakati wa uongozi wa awamu ya nne, wanafunzi wa vyuo vikuu walikuwa wakicheleweshewa hela zao za kujikimu kesho yake utawasikia wako mitaani wakiandamana kuelekea ikulu, awamu hii ni kama wote wamepata na inawajia kwa muda muafaka!

Wafanyakazi nao, ni kama nyongeza za mishahara walizokuwa wakililia na kupanga migomo ya hapa na pale awamu ya nne ni kama awamu hii yote yametimizwa! Hatusikii migomo wala maandamano bali malalamiko ya chini kwa chini!

Wanasiasa nao ndo kama mnavyoshuhudia tena, matamko na mbwembwe za hapa na pale za enzi zile za awamu ya nne kwa sasa kimya kabisa ezi ifu kuna asilimia Mia ya uhuru wa kisiasa!

Yaani kifupi, sisi wabongo kumbe tuna hulka ya kuwaonea watu na kuwapa wakati mgumu sana wale wanaonekana kutupa nafasi kubwa ya kusikiliza matatizo yetu!

Kumbe dawa yetu ni kupigwa mikwara kwenda mbele maana wakati mwingine nao makelele mengi ukiyasikiliza yanaweza kukumislead! Piga mikwara baba, kumbe watanzania wapole tu! Wanaangalia sura, mwenekano na kariba!

Wameshindwa kuwatetea wanakagera, wanafunzi waliokosa mikopo, wafanyakazi walionyima stahiki zao, wastaafu waliopunjwa na kunyimwa stahiki zao (ila kumbe wakilalamika kupitia magezeti wanasaidiwa kama yule wa gazeti la mwananchi badala ya kusaidiwa wote!)

Kumbe watanzania wanasoma nani wamfanyie mbwembwe za migomo na maandamano!
Damage control! Huyo Rais kwa kifupi ha kututendea haki!
 
Simba, post: 19199125, member: 400293"]Mkuu ukitaka kujua hawamu ya 4 ilikuwa hawamu ya bora liende fatilia ugomvi wa Kagame na serikali ya hawamu ya 4 then utajua nani alikuwa sahihi?

Me kwa upeo wangu,,Kagame alikuwa sahih

i kwa 1000% kwani sijawai sikia popote duniani kontena zaidi ya 50 zinapotea bandarini,,mtu anatolewa sehemu fulani km bank kwa kashf
a ya wizi then unampandisha cheo sehem nyeti kwa maslahi ya Taifa ie TRA,,mkuu wa kaya wa sasa kafata mawaiza ya Mh Kagame si unaon
a nchi inaenda vzr,,nizamu imerudi,,uwajibikaji ndio husiseme,,Rais wa hawamu hii akipewa tuzo anastahili sio tuzo zileeee za magumashi[/QUOTE]

Samahani mkuu contena za ubwabwa. Au?


Samahani mkui
 
Ikumbukwe kuwa pamoja na kupingwa kwa kila jambo na wapinzani bado Rais ana wajibu wa kuwasikiliza kwakuwa wapo kikatiba
 
Jakaya Mrisho Kikwete. Mm namuita baba yeye anajua hvyo he was and still is the most intelligent president Tanzania has ever have very intelligent I mean super intelligent that a fool can't understand!! God bless you dad we intelligent people know that you are good don't worry.
 
Watanzania wanaochangia JF wengi wao wa ajabu sana, JK aliacha madaraka na kuacha nchi nyeupe isiyokuwa na pesa kabisa, JPM alipoanza alianza na kubana matumizi kwa sababu hali ilikuwa mbaya sana, mlitaka awaambie kwamba nchi haina pesa? Mafisadi sugu yaliolelewa na JK ndio yanalialia sasa kwa sababu ya pesa za magendo kuadimika. Fanya kazi JPM usisikilize kelele za vyura.
 
Unajua kupunic wewe? Wewe ni wale wale wa Twaweza. Pumbavue!.Wewe ni mpumbavue kwenda huko mbali n a miimi. Siongei na majuha yanayochukua maneno kwenye bao bila kufanya tafiti japo ndogo Pumbavue kwenda huko sitaki kupoteza muda na wewe. Fyyyyyyyeeeeeeeeeez

Mkuu suala la hazina mbona lilitolewa ufafanuzi na serikali, serikali mbona ilisema kabisa mwanzoni hazina ilikuwa sawa tu, halafu mkuu ufisadi mkubwa katika nchi hii wa kulaumiwa sio JK tumlaumu MKAPA na sera yake ya ubinafsishaji wa mashirika ya umma hapo ndio ufisadi ulipoanzia ila Mkapa akatumia utemi kuvinyima uhuru vyombo vya habari lakini mwishowe yote yakafumuka kwa JK na kilichomponza ni sera yake ya uhuru kwa media, uozo wote ukafunuliwa...deep green, Meremeta, kagoda, epa,escrow chanzo chake ni iptl Fuatilia iptl ilikuja lini hapa, net proof, ununuzi wa radar, ndege ya Rais, kitofari cha dhahabu bulyanhulu pale nk...

JK tunaweza kumraumu kwenye Richmond...lakini chanzo kikuu cha ufisadi huu unaouona ni sera mbovu ya ubinafsishaji..
 
Upo very wrong bro! Read between lines utaiona satirical method which the writer use to send message.
Muwe mnasoma na kuelewa sio unajump kwenye conclusion.
Kama sio uroho wa ccm kutaka kuongoza nchi hata pale wanapokiri kushindwa na kukataliwa kumshauri vibaya tena kwa vitisho leo hii katiba mpya ingekuwepo.
Nasema bila uoga yule wa awamu ile ndiye yupo nyuma ya kila kibaya kinachotupata kwa sasa.
Alituita malofa tukashangilia siyo?
Hakuna na hakutatokea rais msikivu, mweledi, mwenye huruma, shupavu na mpenda maendeleo ya wote kama Kikwete! Mark my words lakini historia itamwandika vizuri. Ila hao wastaafu wengine ni janga!

Mkuu ni ngumu sana watu kuelewa, BWM ameleta shida kubwa sana kwa taifa.
Jk ni mtu anayependa na aliyependa kila mtu afurahi..JK hakuishi maisha magumu na wale hakubebwa bebwa kwenye mapambano yake ya maisha ya siasa ila alikubalika na ni mpambanaji hili lilimsaidia sana kupenda kila mtu na kufurahi kuona maendeleo ya wenzie na watanzania..
 
Mkuu ni ngumu sana watu kuelewa, BWM ameleta shida kubwa sana kwa taifa.
Jk ni mtu anayependa na aliyependa kila mtu afurahi..JK hakuishi maisha magumu na wale hakubebwa bebwa kwenye mapambano yake ya maisha ya siasa ila alikubalika na ni mpambanaji hili lilimsaidia sana kupenda kila mtu na kufurahi kuona maendeleo ya wenzie na watanzania..

Asante sana Mkuu,
Tukisema BMW alikuwa mbabe, walioleta za kuleta waliambuli matusi na kuzushiwa uraia feki hivyo walikaa kimya.

JEI KEI yeye alimsikiliza kila mtu kwa nafasi yake, alichoambulia ni yeye kutukanwa, kuonekana dhaifu, migomo na maandamano ya hapa na pale vikaramalaki

Huyu wa sasa, yeye ni mikwara, kufoka na kutumbua huku akijinasibu kuwa hivyo ndo kusema ukweli!? Labda siku hizi ukweli ukisemwa kwa sauti ya chini, yenye hekima na busara hausikiki!?

Kilichotokea, zile swaga za watanzania walizokuwa wanazisema eti ni kudai haki zao zimeyeyeka!! Sasa ndio maana nikasema, watanzania tulimuonea sana Jei Kei labda kwa sababu alitusikiliza sana!?! Watu hawataki kusoma hilo
 
Simba, post: 19199125, member: 400293"]Mkuu ukitaka kujua hawamu ya 4 ilikuwa hawamu ya bora liende fatilia ugomvi wa Kagame na serikali ya hawamu ya 4 then utajua nani alikuwa sahihi?

Me kwa upeo wangu,,Kagame alikuwa sahih

i kwa 1000% kwani sijawai sikia popote duniani kontena zaidi ya 50 zinapotea bandarini,,mtu anatolewa sehemu fulani km bank kwa kashf
a ya wizi then unampandisha cheo sehem nyeti kwa maslahi ya Taifa ie TRA,,mkuu wa kaya wa sasa kafata mawaiza ya Mh Kagame si unaon
a nchi inaenda vzr,,nizamu imerudi,,uwajibikaji ndio husiseme,,Rais wa hawamu hii akipewa tuzo anastahili sio tuzo zileeee za magumashi

Samahani mkuu contena za ubwabwa. Au?


Samahani mkui[/QUOTE]
Hawamu= awamu


Hujui chanzo cha ule ugomvi

Kaa kimyaaa
 
Jakaya khalfan kikwete.

Msanii wa aina yake.

Tabasam la aina yake

Mpenda bata wa aina yake.

Mwenye upendo na utu wa aina yake

aliongoza vizuri kwa style ya aina yake.

Mwenye majibu ya aina yake.

mwenye hekima ya aina yake.

Mwenye teuzi nzuri za aina yake

Aliemkata mtu kwa style ya aina yake

Akatuachia na husia wa aina yake

Leo tunamkumbuka kwa style ya aina yake.

Jk is JK. Much respect.
jk
 
:D:D:D:D
Ni mwendo wa mikwara maana hakuna cha viongozi wa dini wala wanasiasa. Waliojiita wasomi ndio wamepotea kabisa.
Natabiri kuwa magu atatawala kwa amani kuliko maraisi wote waliomtangulia
Hatawali kwa amani ndio maana anatisha watu, ila nazani ndio anaweza kuwa rais wa kwanza tz atakayeishi uhamishoni kama asipobadilika, kila kitu kina mwisho wake, Mungu ni wa wote.
 
Tanzania hakuna Rais mzalendo na kama angekuwepo basi angeanza na kurekebisha katiba inayopunguza madaraka ya u mungu mtu kwa viongozi wetu.Huyo ndio angeikomboa Tanzania milele vinginevo hawa wote n wachumia tumbo ambao wanafurahia ulinzi ambao katiba inawapa
 
Back
Top Bottom