kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,487
- 5,111
Hilo linaeleweka kuwa tunayumbishwa kirahisi. jamaa wanacreate diversions mara kwa mara ili wafanye mambo yao. lakini kwa hili la bajeti inayojadiliwa bungeni sioni mahusiano yake. Wabunge wanajadili na wananchi hatuna sauti kule tofauti na hao tuliowatuma kule ili wawe sauti zetu. kama wameamua kupitisha, sisi huku hatuna namna ya kuzuia, iwe kwa simu feki, makalio feki au whatever. After all, ulitegemea KWELI kuwe na tatizo kwenye upitishaji wa bajeti? Labda tuongelee sukari na si bajeti maan utaratibu wake upo hivyo miaka yote, ni wa kuunga mkono mia kwa mia hata kama muungaji mkono amesinzia muda huo.Tanzania bwana ni hatari
Watu wote washasahau habari ya budget wamehamia kwenye simu fake
Chaajabu ni kwamba simu fake kibao zinadunda hazijafungwa tatizo ninini? Au mtambo wa kuzimia nao ni fake?
Au hii ilisukwa makusudi ili watz wasahau habari ya budget ili wazee wa ndio waipitishe kirahisi?
Kwann akili zetu zinageuzwageuzwa kama chapati? Au akili zetu nazo ni fake maana zinasahau vitu vya msingi zinakimbilia upupu
Issue ya sukari ambayo ni tatizo mpaka leo tumeisahau na tumeipotezea kwa igizo dogo tuu la dakika 2 (bialism and kitwangalism in bungelism)
Igizo hilo fupi sana likahamisha akili zetu tukasahau shida ya sukari na issue ya lugumi,
Leo tamthilia ya simu fake ambayo ililtangazwa kwa mda mrefu imekuja kivingine imetuhamisha hakili tumesahau swala la budget ambalo ni muhimu kuliko hii tamthilia ya simu fake
Pindi tamthilia hii itakapofika ze end tayari budget ishapitishwa kiulainiiii
Ndipo tutashtuka na kuanza kutapatapa bila msaada
Kuna haja ya kuzima hizi hakili fake zetu watanzania ili tubaki na hakili original
Vinginevyo yawezekana hata nchi yetu ni fake.
Hiyo ni ndoto yangu ya mkesha wa simu fake
Mtu mwenye NJAA ni rahisi kupelekwa kama boya. Akiambiwa huku kuna wali atakimbilia kule akale ashibe kesho tena akiambiwa ugali upo mtaa ule basi mbio, Ndio maisha ya mwenye nyaa. Dawa yake sio kumlaumu bali kumpa shibe ya uhakika (akilini) atatulia na kupambanua maisha yake ya mbeleni.Tanzania bwana ni hatari
Watu wote washasahau habari ya budget wamehamia kwenye simu fake
Chaajabu ni kwamba simu fake kibao zinadunda hazijafungwa tatizo ninini? Au mtambo wa kuzimia nao ni fake?
Au hii ilisukwa makusudi ili watz wasahau habari ya budget ili wazee wa ndio waipitishe kirahisi?
Kwann akili zetu zinageuzwageuzwa kama chapati? Au akili zetu nazo ni fake maana zinasahau vitu vya msingi zinakimbilia upupu
Issue ya sukari ambayo ni tatizo mpaka leo tumeisahau na tumeipotezea kwa igizo dogo tuu la dakika 2 (bialism and kitwangalism in bungelism)
Igizo hilo fupi sana likahamisha akili zetu tukasahau shida ya sukari na issue ya lugumi,
Leo tamthilia ya simu fake ambayo ililtangazwa kwa mda mrefu imekuja kivingine imetuhamisha hakili tumesahau swala la budget ambalo ni muhimu kuliko hii tamthilia ya simu fake
Pindi tamthilia hii itakapofika ze end tayari budget ishapitishwa kiulainiiii
Ndipo tutashtuka na kuanza kutapatapa bila msaada
Kuna haja ya kuzima hizi hakili fake zetu watanzania ili tubaki na hakili original
Vinginevyo yawezekana hata nchi yetu ni fake.
Hiyo ni ndoto yangu ya mkesha wa simu fake
Mleta mada bado hajasema hao wananchi anaowazungumzia alitaka wahusike vipi na mjadala wa bajeti...Mtu mwenye NJAA ni rahisi kupelekwa kama boya. Akiambiwa huku kuna wali atakimbilia kule akale ashibe kesho tena akiambiwa ugali upo mtaa ule basi mbio, Ndio maisha ya mwenye nyaa. Dawa yake sio kumlaumu bali kumpa shibe ya uhakika (akilini) atatulia na kupambanua maisha yake ya mbeleni.