Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Watanzania sijui ni lini mtajifunza na kuelewa hizi sanaa za CCM. Acheni kushangilia Nape na wenzake kutemwa uwaziri kwani baada ya muda wanaweza tena kurudishwa kwenye Baraza la Mawaziri.
Mimi naona wameshaongea na kukubaliana wafanye hiki na kile halafu baada ya muda(baada ya uchaguzi), wawarudishe hata kama kweli kuna makosa wamefanya.
Hata Magu alikuwa anawatoa na kuwarudisha. Sometimes ni mbinu tu ya kuwafanya wasijisahau hasa kwa kauli kama ya Nape ambayo ni ukweli wa kile ambacho CCM huwa wanakifanya.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari