Nyalutubwi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 573
- 172
.Kama suala ni kutaka nchi yenu je njia sahihi ni kuanza kuchoma Makanisa na kutishia waumini wa Makanisa hayo?.Mimi naamini Wazanzibari ni jamii ya watu waotambua ustaarabu wa Dunia ya leo na kama suala ni kudai nchi yenu kujitoa kwenye Muungano ziko njia nyingi tu.Kwa hili sasa mmetufanya sisi wengine ambao huwa hatujibu hoja zenu zisizo na tija tuanze kuingilia kati na kama Wazanzibari hamtambui Wabara wengi katika maisha yao ya kila siku hawana chochote cha kupoteza kama Muungano utavunjika.Mkuu unaandika uwongo uwongo mimi niko zanzibar hilo uloandika lako mwenyewe hakuna kitu hicho zanzibar. Unachochea chuki tu huna lolote mzushi mkubwa .kama ni vile usemavyo wewe nambie mbara gani kapigwa na wanatembea bila kuulizwa chochote WAZANZIBAR WANATAKA dola ya zanzibar bila muungano huu hawana shida na watanganyika,wakenya,wataliana au waarabu watu wanataka nchi yao 2 basi