Hiyo habari ni ya lini?
Watalii hawaangalii tax bali huduma nzuri na vivutio vzr, ndio maana kwa mwaka 2016-2017 mapato ya utalii yamepanda maradufu sana.
Hiyo tozo ya Mabank iachwe hivo hivo, tayari Bank kuu imisha-shusha kiwango cha akiba ya fedha za mabank zilizopo Bank Kuu, hivyo kile kiasi chote kimepewa mabank.
Sasa mnataka matajiri au wafanyabiashara wasilipe hii kodi? au wafanyakazi? hata mimi nakatwa hii tozo,
labda usema kuwa, tukishapata chanzo kingine cha mapato mfano, kuyabana haya makampuni ya madini kulipa kodi na kuondoa misamaha ya kijinga migodini basi hicho kiasi kitafidia hii tozo kama ikifutwa.
Cha msingi tuungane pamoja, bado Mgodi wa mwadui, nao panga la serikali likifika na kuwabana kisawa-sawa basi tutapata vyanzo zaidi vya mapato hivo kufikiria kufuta au kupunguza hizi tozo