Wasichana wenye kauli hizi badilikeni

Mwanamke lazima adeke kike bwana,shuti maneno laini na nyororoooo,aseme " Baby nakuja nataka kukwambia
kituuu kwa hisani yako usiondoke!! halafu unajua eeh nimeku miss unajua nimemiss nini darling wangu kwako?
pale nnapoweka kichwa changu kifuani kwako i feel safe na jengine sijui niseme mmmmm funga macho kwanza
Napenda harufu nzuri ya jasho lako after the show,haya basi nisije kupatwa na aaaaa.... bye lov tutaonana soon mwaaa!!
lakini sio kama mwanajeshi OYA akaaaah...........mtoto wakike shuti poziii..lol
Daah! maneno haya hadi nanilii limesimama! Can we establish a Journey from here baby!
 
that is not a romantic language kwa kweli mimi pia sipendi mtuaniite Oyaaa nooo aisee
Watu Wa Aina Hii Wanakuaga Na Utoto Na Ujana Mwingiiii Vichwani Mwao. Bahati Nimefanikiwa Kuweza Kudhibit Asila Zangu Atherwise Mtu Unaweza Mzabua Kofi.
 
Mwanamke lazima adeke kike bwana,shuti maneno laini na nyororoooo,aseme " Baby nakuja nataka kukwambia
kituuu kwa hisani yako usiondoke!! halafu unajua eeh nimeku miss unajua nimemiss nini darling wangu kwako?
pale nnapoweka kichwa changu kifuani kwako i feel safe na jengine sijui niseme mmmmm funga macho kwanza
Napenda harufu nzuri ya jasho lako after the show,haya basi nisije kupatwa na aaaaa.... bye lov tutaonana soon mwaaa!!
lakini sio kama mwanajeshi OYA akaaaah...........mtoto wakike shuti poziii..lol
Huna hela adeke deke nini?
 
Mwanamke staha siyo usela mwingi... wanawake wa aina hii ndoa wao wanaishia kujaza kabati la nguo kwa sare za harusi za wenzao. Mwanamke pozi, kudeka na kauli zenye bashasha za mahaba siyo unakuwa mgumu na kauli tata kama kondakta... nani akuweke ndani? unataka kugeuza nyumba yangu gheto la kupulizia Ngada?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom