Na ndio wengi wao walivyoha ha ha unamchuna mtu kwa mbinu za kichuo chuo ili aonekane bado mteke teke kumbe tayar kibib kigagula
dada inaonyesha unawajua itabd nije unipe mbinu mbadala nisije nkapigwa cha usoNa ndio wengi wao walivyo
Usiogope mtani si unajua wengine madomo zege watakua wanapata somo humo humo.Hapa watu wataiba swaga zangu
Na ww umeliona hilo duh jamani binadamu kwani ambao hatujasoma sio watuProfile zao FB wote wamesoma UD
Usijali kaka.dada inaonyesha unawajua itabd nije unipe mbinu mbadala nisije nkapigwa cha uso
Mm sitaki kutia siri zangu za ndaniUsiogope mtani si unajua wengine madomo zege watakua wanapata somo humo humo.
Kaka kama mapenzi yangekuwa yanaangalia degree darasa la saba wasingeolewaKapo kamoja karembo kusema kweli mara nikakakuta k'koo kwa duka la mama yake, n'kajua la mume wake.
Badae tunaongea kanaanza story za chuo kakidhani mimi mlocal fulani hivi maans nilijiweka kishamba kumbe dgrii 2 nimezibeba. Badae kanagundua nazungumza mambo makubwa kakakoma kuhusu habari za chuo kuja kukauliza chuo gani kamesoma na kozi gani eti VETA MIKUMI KOZI YA CERTIFICATE FRONT OFFICER. Nilikaona kapuuzi sana, from that day kananisumbua ingawa nakapenda ila kichwani ni kajitu hakajiwezi.
sawa dada yanguUsijali kaka.
Kachukue tuu mchagua jembe si mkulimaKapo kamoja karembo kusema kweli mara nikakakuta k'koo kwa duka la mama yake, n'kajua la mume wake.
Badae tunaongea kanaanza story za chuo kakidhani mimi mlocal fulani hivi maans nilijiweka kishamba kumbe dgrii 2 nimezibeba. Badae kanagundua nazungumza mambo makubwa kakakoma kuhusu habari za chuo kuja kukauliza chuo gani kamesoma na kozi gani eti VETA MIKUMI KOZI YA CERTIFICATE FRONT OFFICER. Nilikaona kapuuzi sana, from that day kananisumbua ingawa nakapenda ila kichwani ni kajitu hakajiwezi.
Sikuwezi mumy! Kumbe na wewe ni shushushu.kuna mkaka humu alijisifiaga aina ya simu anayotumia...Mungu si athumani kumbe ni rafiki wa jirani yangu...
halafu simu aliyokua akiipondea hum ndo anayoitumia(usiniulize nilijuaje ID yake)...
Kazi ipoWala sishangai maana humu kila mkaka ana gari,keshapanda ndege, keshatoswa halafu aliyemtosa hajaolewa ni SINGLE MOTHER(mikaka ya humu kwa kujisifia tu hodari) ana michepuko mitatu kidogo(sifa tu wakati hata kutongoza muoga)
me shilawadu ushushushu sijafikia badoSikuwezi mumy! Kumbe na wewe ni shushushu.
Kazi IPO kwa hawa kaka zetuWala sishangai maana humu kila mkaka ana gari,keshapanda ndege, keshatoswa halafu aliyemtosa hajaolewa ni SINGLE MOTHER(mikaka ya humu kwa kujisifia tu hodari) ana michepuko mitatu kidogo(sifa tu wakati hata kutongoza muoga)
MamaaaaaaaaAtakua anasoma certificate of diploma in bachelor degree of o level studies.
Huo unakuaga ulimbukeni wapo wengi unakuta hata msichana kanunua hand bag sasa hakuna anae muuliza basi ye anaanza huu mkoba nimenunua laki mbili hiki kiatu nimenunua elfu tisini hujaulizwa. ULIMBUKENI HUO watu wamepanda wamenza kupanda ndege hawana hata meno mdomoni, wanatembelea magari wako kimya.Wala sishangai maana humu kila mkaka ana gari,keshapanda ndege, keshatoswa halafu aliyemtosa hajaolewa ni SINGLE MOTHER(mikaka ya humu kwa kujisifia tu hodari) ana michepuko mitatu kidogo(sifa tu wakati hata kutongoza muoga)