MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,144
- 3,915
Mdemokrati Raphael Warnock Amemshinda Uchaguzi wa marudio wa kiti Cha Useneta katika Jimbo lililokuwa na ushindani mkali la Georgia siku ya Jumanne,na kuongeza udhibiti wa Chama chake katika Jimbo la Seneti baada ya kupata upinzani mkali kutoka kwa Mgombea wa Chama wa Republican aliyeungwa Mkono na Donald Treump,Herschel Walker ambaye hapo zamani alikuwa nyota wa Mpira wa miguu nchini Marekani.
Ushindi wa Warnock ulitabiriwa kuwa mdogo Sana. Wakati Karibu asilimia 99 ya kura zikiwa zimekwisha hesabiwa,Warnock alimshinda Walker kwa asilimia 50.8 dhidi ya 49.2 kwa mjibu wa Edison Research.
Matokeo hayo yanapigilia msumari wa Moto kwa Jimbo la Georgia kuwa lenye ushindani mkali ambalo litakuwa na karata Muhimu katika Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2024.
Kwasasa,Wademokrati wameshinda majimbo 3 ya Useneta katika miaka 2 iliyopita ambayo hapo awali yalikuwa Ngome za Chama Cha Republican. Kwa Mara ya Pili,Wademokrati walishinda Jimbo Hilo wakati wa Uchaguzi mkuu uliopita 2020 ambao ulimpa ushindi Rais was Sasa Joe Biden dhidi ya Mgombea wa Chama Cha Republican Donald Trump.
Ushindi wa Warnock Ni pigo kubwa kwa Donald Trump ambaye anatafuta uungwaji Mkono wa kuteuliwa kuwa Mgombea wa Urais wa Chama chake Cha Republican katika Uchaguzi mkuu ujao wa 2024.

Georgia runoff: Democratic U.S. Senator Warnock beats Trump-backed rival
Democrat Raphael Warnock won re-election to the U.S. Senate in a hard-fought Georgia runoff on Tuesday, strengthening his party's razor-thin majority as he fought off a challenge by Republican former football star Herschel Walker.
www.reuters.com