dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,509
Usiwekeze Akili yako kwa mwanadamuMabadiliko ya kweli chini ya JPM
Usiwekeze Akili yako kwa mwanadamuMabadiliko ya kweli chini ya JPM
Hata mwendokasi phase zote zikikamilika hizo dldl zitaondoka. Traffic kubwa ni dar Moro. Ila uko sawa mkuuSisi wa Mdaula, Chalinze, Bwawani, Ubena Zamozi na maeneo mengine ya katikati bado haya mabasi tuna yahitajia ni sawa na MWENDO KASI UPO MJINI lakini daladala nazo zina saiidia.
Tatizo la watanzania ndo hilo,yaani wewe unachokifikiria ni kuona hatufanikiwi ktk jambo hiloKwa hii nchi naweza kuwaambia wasiwe hata na hofu biashara itafanyika tena zaidi ya hapa.
Treni hizo zinaweza kuja zikakosa umeme au zikikwama porini mabasi yatakuwa yamepata biashara nzuri.
Mkuu wewe ni Mgeni kwenye Nchi hii? tangu tupate Uhuru umesikia Maneno mangapi kutoka kwa watawala hata Leo upoteze muda wako kuwaamini....Angalia marudio ya uzinduzi umsikilize mkurugenzi anavyofafanua kwa mifano specifications na sifa za hiyo treni. Inaoption zote umeme ukisumbua katikati ya safari unachange mode inaendelea kama kawaida Bila umeme pia Kuna macontroller wanaoweza kuiwasha kuizima kuongeza speed hata kupunguza nje ya huyo anaeendesha na wanakuwa dsm hivyo unauhakika wa usalama muda wote
Inategemea kwa nini hujiulizi treni posta ubungo maziwa 400 na daldala 400.hat tofauti ili iwe na ushindani itakuwa kidogo nadhaniSiku utakapoambiwa nauli ya Dar-Moro ni 45,000 kwa treni ndio utakapolikumbuka abood lipo wp! Nashangaa mkisema mtu alale Moro kazi afanye dar hata km abood lingekuwa linafika ndani ya saa 1 isingewezekana sababu ya gharama yake ni wachache wangemudu.
Abood mimi ndio huwa bus langu hata km litajaa masaa sita nitalisubir. Nimepanda zaidi ya mara kumi na kitu, asilimia tisini na tano ya abiria ni dar MoroTreni haipiti mjini,maporini,aboud na wenzie watawapata wengi wanaoshukia njiani,au ambao watahitaji usafiri wakati treni ilishaondoka,au wale ambao hawahitaji kushushiwa treni inapoishia
Sawa itapungua lkn sio kukosa biashara kbs.Hapa box halihusiki, mfanyabiasha yoyote lazima aforecast changes zozote na athari zake zote kwake.
Mfano serikali inaweza kubadili policy kuongeza lifespan ya barabara ya zake kwa sababu Kuna alternative ya cargo transportation.
Mabadiliko yoyote tena Kumbuka kutakuwa na mass transportation hivyo upungufu wa abilia kwao. Kama kwa siku abood anasafirisha bus 20 kwa siku basi zinaweza kushuka hadi kumi. Lazima kuanticipate this possibility of change
Ukishaona sio imani tena hiyo. Hapa tunaongelea possibilities kama kinachosemwa kikiwa halisi maana na mafungu ya pesa yameshafunguliwa....Mkuu wewe ni Mgeni kwenye Nchi hii? tangu tupate Uhuru umesikia Maneno mangapi kutoka kwa watawala hata Leo upoteze muda wako kuwaamini....
Amini baada yakuona kilichofanyika sio Povu zao!
Mabadiliko chanya yote yanamadhara kwa upande mwingine...
Kama ndani ya miezi 30 ijayo tutakuwa na hiyo treni basi watu wa mabus dar Moro/Dodoma wafanye restructuring ya biashara zao.
Kama tunaenda kuwa na reli yenye Uwezo wa kubeba malaki ya Tani watu wa malori hawana jinsi zaidi ya kurestrcture biashara zao.
Ila cha ajabu Kuna watu wanadhani hizi ni story au ndoto siku wakiona treni inapita kama mkuki na waliambiwa mapema utasikia maandamano ya madereva.
Ushauri boresheni huduma zenu mfano free WiFi, bei Nzuri, muanze na kutugawia soda, wanaweza kuboresha routes za nje ya reli na tanzania itakua exponentially.
Kama mimi nakuja Moro kwa treni basi nakuta express ya abood au pm Moro kilosa au ifakara sio zile coaster zinazojaza masaa sita. Watu wa malori pia wajipange...
Mabadiliko hayapingwi Bali yanakumbatiwa....
Sasa wewe ulitaka niwe na wazo sawa na lako! Unaumwa?Tatizo la watanzania ndo hilo,yaani wewe unachokifikiria ni kuona hatufanikiwi ktk jambo hilo
Huwa wanakosea mipango katika utendaji ila mipango katika usemaji huwa ni yenye kupendeza sanaMfano Mzuri kwa DAR ni basi za mwendokasi....wameondoa Daladala mwendokasi wenyewe watu wanakaliana kama mizigo Abiria wanakaa vituoni masaa....
Huu mradi mpaka uje uanze kazi ni lini??Mabadiliko chanya yote yanamadhara kwa upande mwingine...
Kama ndani ya miezi 30 ijayo tutakuwa na hiyo treni basi watu wa mabus dar Moro/Dodoma wafanye restructuring ya biashara zao.
Kama tunaenda kuwa na reli yenye Uwezo wa kubeba malaki ya Tani watu wa malori hawana jinsi zaidi ya kurestrcture biashara zao.
Ila cha ajabu Kuna watu wanadhani hizi ni story au ndoto siku wakiona treni inapita kama mkuki na waliambiwa mapema utasikia maandamano ya madereva.
Ushauri boresheni huduma zenu mfano free WiFi, bei Nzuri, muanze na kutugawia soda, wanaweza kuboresha routes za nje ya reli na tanzania itakua exponentially.
Kama mimi nakuja Moro kwa treni basi nakuta express ya abood au pm Moro kilosa au ifakara sio zile coaster zinazojaza masaa sita. Watu wa malori pia wajipange...
Mabadiliko hayapingwi Bali yanakumbatiwa....
Umeongea point tupuKwa hii nchi naweza kuwaambia wasiwe hata na hofu biashara itafanyika tena zaidi ya hapa.
Treni hizo zinaweza kuja zikakosa umeme au zikikwama porini mabasi yatakuwa yamepata biashara nzuri.