Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,082
Siyo Bure Jamani Yawezekana Jamaa kamroga.
Waulize polisi siyo Makonda ya ovyo halafu uje na utoto wakoMkuu Yericko Nyerere Ben Saanane yuko wapi? Maana tuliambiwa baada ya Christmas na mwaka mpya mwenyekiti atalishughurikia
Rais wangu Daktari John Pombe Magufuli, ninakuandikia maneno haya machache kama furaha yangu kuwa na rais kama wewe ambaye taifa lilimsubiri kwa miongo kadhaa, Wakati nikikupongeza kwa ustahimilivu na uchapakazi wako hasa kwakutowasikiliza wapiga kelele dhidi ya msaidizi wako mpendwa mkuu wa mkoa wa Dar, nashawishika kukwambia kwamba video hii hapa chini ni ya mkuu wa mkoa wa Dar iliyorekodiwa kwa kutumia kamera za kiusalama (cctv).
Video inaelezwa hapo ni kituo cha tv cha Clouds na kwamba mkuu wako wa Mkoa alivamia kituo hicho kwalengo alijualo yeye, yaani amevamia kwatumia jeshi letu linalotumia kodi za wananchi kwa mambo yanayodhaniwa ni binafsi. Kibaya zaidi amevamia kituo chako pendwa kabisa cha tv hasa kile kipindi cha Shilawadu.
Mimi nakutazama lakini nina akili timamu nafahamu kwamba vyeti feki vya Daudi Bashite anayejiita Paul C. Makonda KAMWE havitamtumbua, na njia sahihi ni hii ya "kuleta vurugu uraiani", naitafakari simu yako kwa Shilawadu, yule anakutamaza, wale wanakutazama na Dunia inakutazama mh rais, watanzania wanakutamaza mh rais, Katiba imekupa mamlaka ya nusu uungu rais wangu, fanya jambo watu wa tanzania na dunia wajue wewe ni nani. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mpo wapi? Ninani katika ardhi ya jamhuri hii ambaye yupo juu ya sheria na katiba za nchi yetu?
Kama tukio hili ni uvamizi bila shaka runinga ya clouds itafungua kesi dhidi ya wavamizi, na hilo tunalisubiri...Lakini kwa mamlaka ya kirais, Mh Makonda amepoteza sifa za kuwa msaidizi wa Rais kwa nafasi yoyote ile....
Ikupendezavyo mheshimiwa rais, katiba inakupa nguvu kwamba hutatenda kazi yako ya urais kwakulazimishwa kushauriwa na mtu yeyote au kikundi chochote.
Wewe ndiye rais wetu, uliwazalo na ulitendalo lidumu daima mheshimiwa rais.
Nikutakie jumapili njema!
Na Yericko Nyerere
Kama aikwepa na huu mshale basi jamaa atakuwa ni zaidi ya tunavyo mwona
Chadema hamna Akili na ni wote, kama mngekuwa hata na Akili kidogo tu mpaka mngeshatambua Raisi Magufuli ni mtu wa aina gani, hivi kwa Akili zenu ndogo mnafikiri Raisi wa JMTZ anaweza kuchukuwa uamuzi kwa kushinikizwa na chadema? Kwanza ni bora hata mngekaa kimya kama hata mlikuwa na nia ya labda matakwa yenu yatimizwe, jinsi mnavyozidi kushinikiza ndivyo jinsi Makonda anavyoendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar na hakuna kitu takataka mtafanya, Makonda ni Mkuu wa Mkoa wa Dar mpka 2020 hutaki hamia Machame kwa Mbowe!
Kwahiyo mwenyekiti wako alituahidi utoto? Tamko mpaka leo kimya? Au hana thamani tena?Waulize polisi siyo Makonda ya ovyo halafu uje na utoto wako
Na Mwenyekiti wako ndivyo atakavyoendelea kudharaulika ndani na nje ya nchi.
Mkuu jpm alitaka jeshi la polisi liogopwe sasa litaogopwa Vipi Kama halitafanya vitendo kama hivi?Rais wangu Daktari John Pombe Magufuli, ninakuandikia maneno haya machache kama furaha yangu kuwa na rais kama wewe ambaye taifa lilimsubiri kwa miongo kadhaa, Wakati nikikupongeza kwa ustahimilivu na uchapakazi wako hasa kwakutowasikiliza wapiga kelele dhidi ya msaidizi wako mpendwa mkuu wa mkoa wa Dar, nashawishika kukwambia kwamba video hii hapa chini ni ya mkuu wa mkoa wa Dar iliyorekodiwa kwa kutumia kamera za kiusalama (cctv).
Video inaelezwa hapo ni kituo cha tv cha Clouds na kwamba mkuu wako wa Mkoa alivamia kituo hicho kwalengo alijualo yeye, yaani amevamia kwatumia jeshi letu linalotumia kodi za wananchi kwa mambo yanayodhaniwa ni binafsi. Kibaya zaidi amevamia kituo chako pendwa kabisa cha tv hasa kile kipindi cha Shilawadu.
Mimi nakutazama lakini nina akili timamu nafahamu kwamba vyeti feki vya Daudi Bashite anayejiita Paul C. Makonda KAMWE havitamtumbua, na njia sahihi ni hii ya "kuleta vurugu uraiani", naitafakari simu yako kwa Shilawadu, yule anakutamaza, wale wanakutazama na Dunia inakutazama mh rais, watanzania wanakutamaza mh rais, Katiba imekupa mamlaka ya nusu uungu rais wangu, fanya jambo watu wa tanzania na dunia wajue wewe ni nani. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mpo wapi? Ninani katika ardhi ya jamhuri hii ambaye yupo juu ya sheria na katiba za nchi yetu?
Kama tukio hili ni uvamizi bila shaka runinga ya clouds itafungua kesi dhidi ya wavamizi, na hilo tunalisubiri...Lakini kwa mamlaka ya kirais, Mh Makonda amepoteza sifa za kuwa msaidizi wa Rais kwa nafasi yoyote ile....
Ikupendezavyo mheshimiwa rais, katiba inakupa nguvu kwamba hutatenda kazi yako ya urais kwakulazimishwa kushauriwa na mtu yeyote au kikundi chochote.
Wewe ndiye rais wetu, uliwazalo na ulitendalo lidumu daima mheshimiwa rais.
Nikutakie jumapili njema!
Na Yericko Nyerere
Nani anajali? Cha muhimu Watanzania wanyonge wanamkubali, mengine yote porojo tu!
Bavicha wepesi wa kusahau!Umesahau alivyomtukana LowassaHalafu whistle blowers kama akina Mange eti ndio wamewekwa kwenye "the most wanted list" ya vyombo vyetu vya usalama! Sijui huwa tunataka nini yarabi! Hawa ndio watu muhimu wa kuzisaidia mamlaka na vyombo husika kutekeleza majukumu yao. Hapo ndipo umuhimu wa mitandao ya kijamii ulipo na sio umbea wa kijinga wa Lumumba.
Mimi huwa nashangaa sana wanaojidai kila siku eti "mwananchi mwenye taarifa za kuvisaidia vyombo vyetu" azilete; wapi mafichoni? Ili nini? Wala habari zenyewe hazihusu usalama wa taifa bali fraud za baadhi ya viongozi. Niltegemea Mange apokelewe kama shuja na kupewa ulinzi wote badala yake ndio anageuziwa kibao; anageuzwa yeye ndiye mhalifu!
Wanyonge wapi hao...wale aliowapora pesa za rambirambi wakagawana na Bashite...wanyonge wanaomlilia njaa anawaambia wafe..wanyonge gani hao unaowangelea.