Wapi wanauza car washer mchines?

24th DECEMBER

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
401
167
Naomba msaada kufahamu nitakapopata mshine za kuoshea magari hapa Tz au website yeyote
 
Nenda hardware kubwa mkuu..au maduka yanayouza generators utapata...we upo mkoa gani kwani!?
 
Njoo Bosch upate machine orijino za mjerumani ila mfukoni uwe vizuri gerentii unapewa ikifa kabla ya muda unapewa jingine ila unaweza ukafa ww,mwanao na mjukuu yenyewe bado ikiwa nzima karibu sana
 
Njoo Bosch upate machine orijino za mjerumani ila mfukoni uwe vizuri gerentii unapewa ikifa kabla ya muda unapewa jingine ila unaweza ukafa ww,mwanao na mjukuu yenyewe bado ikiwa nzima karibu sana
Mkuu nicheck whatsapp kwenye 0713509061
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…