Habari zenu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (bachelor) kozi ya ICT nataka kufahamu mashirika ama taasisi zinazotoa field ya ict kwa dar es salaam maana mwaka wa kwanza nilifanya arusha. Ningepata shirika lenye kiwango zaidi ili kuboresha taaluma yangu ingekuwa vyema zaidi. Naombeni ushauri wenu juu ya hili.