Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,426
safi sana mkuu. hongera kwa hilo...Nimeshaingia moshi kwaajili ya hii kitu. .21 km
pole sana mkuu.. next time wahi kidogo. ina maana washiriki mwaka huu ni wengi kupita kiasi???Dah nimekosa namba ya ushiriki wa 21km leo pale keys hotel, nimekuwa disappointed kabisa.
Hapana wakati huu watu wengi walifanya online registration, na ndo walopata kipaumbele katika kupewa namba, ila pia nimekimbia tu just for funny, nimemaliza 21km japo bila medani.pole sana mkuu.. next time wahi kidogo. ina maana washiriki mwaka huu ni wengi kupita kiasi???
Umetumia muda ganiHapana wakati huu watu wengi walifanya online registration, na ndo walopata kipaumbele katika kupewa namba, ila pia nimekimbia tu just for funny, nimemaliza 21km japo bila medani.
2hrs na 18mnt nikafinish, marathon ipo na radha yake asee, yani ile kukimbia watu wengi hata hutoona umbaliUmetumia muda gani
Hahaa mkuu upo hugoz nini?Nimedaka medani yangu ya 21 kilometres. .nice experience kwakweli. .washiriki walikuwa wengi sana ila bar za moshi sijui meku bistro na hugo ni miyeyusho sana katika huduma
Mchana nilidondoka hapo wakizingua nimetia maguu arusha ili kesho nirudi TanzaniaHahaa mkuu upo hugoz nini?
Mkuu 2017 kama kawaida, lazima 21km, tuombe uzima tuSafi sana mlioshiriki KILI Marathon, hongereni sana, Mie nimeikosa mwaka huu kutokana na majukumu, nimekuwa nikishiriki for last 3 years, ni mdau mkubwa wa 21.1Km half marathon!
Hahaa mekuz hapafai mpaka mida hii, hapana hata pa kukanyaga, watu wapo kama kwa standing part vile.Mchana nilidondoka hapo wakizingua nimetia maguu arusha ili kesho nirudi Tanzania
Dah nimekosa namba ya ushiriki wa 21km leo pale keys hotel, nimekuwa disappointed kabisa.
Hapana wakati huu watu wengi walifanya online registration, na ndo walopata kipaumbele katika kupewa namba, ila pia nimekimbia tu just for funny, nimemaliza 21km japo bila medani.