mkuu upo maeneo gani unayouziwa heineken 2500-3000???? sisi huko tunauziwa heinken 3500-4000 maeneo yote ya sinza na riverside.Castle lager sasa hivi inachuana na Heineken.Mtaani inauzwa kati ya 2700 na 2800,wakati Heineken kuna baadhi ya baa mfano nyingi za kinondoni ni 2500 mpaka 3000.