Wandugu nimepatwa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,713
729,852
Wasalaam !
Kwa wiki mbili mfululizo ushiriki wangu ulikuwa hafifu hapa mahali petu. Kiukweli ni kwamba nilipatwa na nikaumwa hasa. Sikujaribu tiba yoyote ya hospital wala kienyeji bali natural body healing...na Leo hii nina furaha kusema nimerejea rasmi na naendelea vema tuzidi kuombeana
 
Ulianza kuleta sintofahamu mkuu
 
Ugua pole,
Ebu share hiyo natural body healing....
 
Pole sana kwa madhira , na pia
Karibu sana mkuu mshana jr , ila hara hara usije kuwa ulichukuliwa
msukule bila wewe kujijua, na sasa wamemaliza kazo yao kwao na
wamekurejesha...ahaaaaa simply joking.
 
Weee jamaa wewe, mbona umerisk sana Maisha yako?
 
Ulipatwa???;; hii kauli tata sana hii mkuu.
Hebu fafanua kidogo.
Tusije tukaamini kuwa ulivamia kingunge mwenzio kwenye ile taaluma yako kaka

Pole sana kwa madhira , na pia
Karibu sana mkuu mshana jr , ila hara hara usije kuwa ulichukuliwa
msukule bila wewe kujijua, na sasa wamemaliza kazo yao kwao na
wamekurejesha...ahaaaaa simply joking.
Kiukweli kuna kazi niliijaribu kuifanya in deep ....nimechemka nilichoambulia ni hili homa
 
Kiukweli kuna kazi niliijaribu kuifanya in deep ....nimechemka nilichoambulia ni hili homa
ahaaaaa............nimecheka sana aiseeee
kwahiyo ni kweli ulichukuliwa mateka , na ukawa msukule kwa siku kadhaaa
kisha ukapewa "court release order" .
aisee mkuu mshana jr umenifanya nicheke sana kila nikikuangali
avatar yako na kukumbuka stori zako za vibwengu , naishia kucheka tu

 
niliwamiss mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…