Wanawake wanapenda ukombe mboga yote

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,319
50,533
Wanawake zangu wote ambao nimewahi kuishi nao lazima kuna siku nilikunywa kamnyweso kakanikwangua utumbo niliporudi home ile njaa ikanipelekea kulamba sufuria zima la mboga.basi ile stori mpaka kesho huwa wanaikumbusha kwa kucheka kumbe mimi zilikuwa tungi tu.wemyewe eti wanajua niliona mboga tamu waliyopika..ndo maana nawausia siku moja moja jitoe ufaham rudi home kama ni kamchuzi piga chote.
NB:usilaze watoto njaa ni kwa wale wanaoishi na wapenzi wao tu watoto wako mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom