Wanawake: Umeolewa lakini unachat na mume wa mwenzako

matwin

Senior Member
Jan 7, 2016
124
134
Hivi wanawake tuna nini lakini, yaani wewe umeolewa na bado unamtafuta mume wa mwenzio na unalazimisha kumtumia meseji na asipo jibu unalalamika utadhani mumeo. Ukiulizwa si unamume wewe unasema eti hashiki simu yangu.

Jamani heshimuni ndoa zenu kama hueshimu yako heshimu basi ya mwenzio kumlazimisha mume wa mwezio na huku hataki sio vizuri. Tulieni kwa waume zenu. WANAUME SHIKENI SIMU ZA WAKE ZENU MUONE.
 
mkuu SIMU huvunja amani ya mapenz/ ndoa/ mahusiano/ urafk n.k y nn kujitia kiwew??? cha msing mwambie bwana wako hupend tabia yake.

Wanawake nao wanazidi unatuma meseji kama mia hivi loooh.....hahaaaaa hapana kwa kweli
 
Kama ni mumeo basi yeye ndio ana matatizo na si huyo mke wa mtu. Wenyewe wamekubaliana wachat..huyo dada anakosa gani?
Huyo mume kwanini achat na mke wa mtu?
 
kawaida sana ni kama wanaume walivyo mafirauni
 
Hahahahahajjajajajaja kuchapiww ni siri ya ndani matwin pole,kwani wewe huna ex zako mamy?na wewe chat tu kwenye simu yako as long unarudi home haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…