xavia abel
Member
- Apr 6, 2016
- 60
- 20
Wewe ni kungwi?
Kuna baadhi ya hizo nywele zenye jina baya ni ngumu ndefu na kali kuliko topaz subiri nitaweka pichaNa ni hatari kwa usalama wa mwanaume kushiriki tendo pendwa na mwanamke ambaye hajanyoa ama kupunguza nywele hizo za huko chini...Kwa bahati mbaya nywele ile yaweza kuwa refu na ikawa imecross kutoka upande wa kushoto kwenda kulia na wewe wakati inataka kumwingilia mama huwa inakata kama wembe...So umakini unahitajika kabla ya kuelekea huko ndichi...
Ulinzi wa kinu cha kutotolea uhaiMe naomba kuuliza kazi ya hizo nywele sirini ni nini??!!na kwapani me nazionaga tu cjui ht kazi yake
picha jamani
Hii hata vijana wafanyiwa ama ni wadadaKama unaweza kustahmili kiduchu basi fanya waxing ya sukari mwanzo utahisi inauma lakini ukisha zowea haiumi,ila nywele zina chelewa kuota wanafanya dar kuna saloon nyingi au kuna wadada wanakuja nyumbani kukufanyia kama unataka.
Pakuhusu kabisa kama bado ujue yatakuja tuMmmh! Hapanihusu!
sehemu za siri?Kama unaweza kustahmili kiduchu basi fanya waxing ya sukari mwanzo utahisi inauma lakini ukisha zowea haiumi,ila nywele zina chelewa kuota wanafanya dar kuna saloon nyingi au kuna wadada wanakuja nyumbani kukufanyia kama unataka.
hahahahahahahaha woyyyeeeee nimecheka balaa hakyanani eti kali kama topazKuna baadhi ya hizo nywele zenye jina baya ni ngumu ndefu na kali kuliko topaz subiri nitaweka picha
Nichek inboxNilipoanza kusoma nikajua utaweka nondo nzur kuhusu dawa zinazotumika kunyeka hii misitu. nimechoka kunyeka kwa kutumia wembe wa mkono. Tafadharini naomben msaada ktk hili naitaj ijue dawa za kunyolea
Hahaha mangrove...! Nimeshindwa kuweka na za chini kutokana na kanuni na taratibu za forumHilo sasa ni janga!!! si kwa mangrove hiyo
Mshana nawe umo ehhh ?!!Hahaha mangrove...! Nimeshindwa kuweka na za chini kutokana na kanuni na taratibu za forum
Mshana nawe umo ehhh ?!!