Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Usfananishe mambo ya kipuuzi na Neno la Mungu.Mkuu acha kulalamika toa pesa c mliambiwa mtakula kwa jasho
Comrade umempa jibu kali sana...bila kupepesa macho.Mungu aliyosema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho ulidhani anafanya masihara.
Kwaio kwa akili zako unadhan Mungu ndicho alichomanisha?Mungu aliyosema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho ulidhani anafanya masihara.
Chagua 1 boss, uzae kwa uchungu ama utafute hela yako na demu wako.
pesa sio kutoa ivyo yupo anayestahili kupewa sio kila mwanamkeWewe sema huna hela bhana wacha kelele katafute hela huko
Na ukiona unaombwa pesa Sana ujue kwake WWE ni mpuuzi tuHivi nyie munashindwa kutafuta pesa wenyewe hadi munakuwa kama omba omba,MTU nimekujua dk mbili tu unaniambia una njaa ww VP kwa iyo mm mpishi,Mara Ohoo sina vocha uza simu ukanunue vocha ,muna tabia mbaya sana ya kuomba omba pesa kwa watu musio wa jua
Mkuu acha kulalamika toa pesa c mliambiwa mtakula kwa jasho
chaa bamutu ba kongo!! huna pesa unatongoza vya nini
Mungu aliyosema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho ulidhani anafanya masihara.
Chagua 1 boss, uzae kwa uchungu ama utafute hela yako na demu wako.
Mungu aliyosema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho ulidhani anafanya masihara.
Chagua 1 boss, uzae kwa uchungu ama utafute hela yako na demu wako.
Usipaparikie wanawake kama huna pesa mkuu! Utakufa bure kwa presha
Wewe sema huna hela bhana wacha kelele katafute hela huko
hata kuomba nayo ni kazi huoni wagogo hawataki kurudi dodoma?Hivi nyie munashindwa kutafuta pesa wenyewe hadi munakuwa kama omba omba,MTU nimekujua dk mbili tu unaniambia una njaa ww VP kwa iyo mm mpishi,Mara Ohoo sina vocha uza simu ukanunue vocha ,muna tabia mbaya sana ya kuomba omba pesa kwa watu musio wa jua
HahahahaaaWewe sema huna hela bhana wacha kelele katafute hela huko
Awanunulie wanaomuomba, Mimi wangu kila inapoanza tarehe 1 keshafanya yake full kujiachia mwezi mzima.Hahahahaaa
Akatafute pesa, kisha akununulie vocha wewe utampatia nini?
Hii dunia hiii.
Inapendeza sana....Awanunulie wanaomuomba, Mimi wangu kila inapoanza tarehe 1 keshafanya yake full kujiachia mwezi mzima.