kaboom huyu dada yupo darasa la ngapi jamani mwandiko gani huo vifupi mpaka sijaelewaWanawake Mambo ya kufa na tie shingoni sio mpango..We kama unampenda mtu mfwate na utiririke ya moyoni sio lazima mpaka uanzwe...We jishushe zen make a move..Yeah..Sometimes u nid to put your pride aside and follow your heart..
To lose pride over someone u love sio kitu mbaya...
Sasa Unamkuta mtu kakondeana utasema anafanya russian air force diet kumbe ni mawazo ya mapenzi yanampelekesha..Shida yote ya nini sasa
Huyu dada nimempenda gafla aisee..Full mikonfidenga..
We unaichukiliaje hii
Maelezo yako yamenigusa.Wacha hiyo tai iniue tuuu, mwanaume anatumia vichwa viwili kuwaza. Mara ujitutumue halafu akuite majina yote mabaya humu duniani na kukutangaza juu au akubali lakini sababu anajua umeoza kwake vituko havitakoma. Aanze kunipenda yeye mie nitaendeleza upendo
Hayo yote mumeumbiwa tuu lazima yatakupata tuuNgumu sana. Na ukitoa ya moyoni,kubali matokeo matatu,kukubaliwa kisha kutangazwa umemtokea wakati hakufeel kivile,kukataliwa kisha kupewa jina la malaya(kisa mdada ndio amemtongoza), kukubaliwa na kuwa mtumwa wa huyo jamaa.
Ni wanawake wachache sana wanaofungukia wanaowapenda na mapenzi yao yanakua mazuri na imara
Mkuu mwanaume Wa hovyo ni hovyo tu..Hata kama yeye ndo atakutongoza still anaweza kukuongelea vibaya..Hata wanawake Wa hivyo mbona wengi tu ila wanaume bado tunakomaa..Wacha hiyo tai iniue tuuu, mwanaume anatumia vichwa viwili kuwaza. Mara ujitutumue halafu akuite majina yote mabaya humu duniani na kukutangaza juu au akubali lakini sababu anajua umeoza kwake vituko havitakoma. Aanze kunipenda yeye mie nitaendeleza upendo
nipoo best, happy new year tooHuyu atakuwa LA kwanza bandia..Umepotelea wapi best??..Happy new year
Bro umewahi kuimbiwa hii?