Wanavutia lakini

Mkuu nilipata kuhadisiwa na mzee mmoja mwanajeshi ,kwamba Cobra kama akifanikiwa kuingiza kichwa akakibana kwenye ukuta ulio na shimo mnaweza mkamvuta watu 20 mkashindwa kumtoa ,ni kweli ???

Huyo mweupe anavutia sana
 
hii midudu siipendi hasa ninapoiona ktk maeneo nnayoishi
tena kama huyo mwenye rangi nyeusi na nyeupe alshawahi kunikosakosa kuning'ata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…