Wanaume wanaofanya hivi huwa wanamaanisha nini? Bado najiuliza

Mwanamke hajui matumiz ya hela akienda shopping na 100k itaisha 10k itaisha 500 pia hivyo anamatumiz unnecessary so hilo nalo linawashusha credit ananunua alichoona sio alichopanga....
 
Yaan wanawake tuwe tunajiongeza kwa kuwa na kuaminika. Sio kwa ubaya ila kuaminika kiakili. Km hujawah kujiongeza kwa lolote akiwepo unahis akikuachia hhayo majukumu uyaweza? Km ingekuwa utaweza asingewaza hata rafik maana mke ni rafiki wa kwanza
Nikuulize tu swali umeolewa??

Uko vizuri sana, acha wapuuzi wakazane kulalamika tu.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Ni ubinafsi tu
Nakupa mfano wa kweli. Kuna dada mmoja mmewe anafanyakazi nje ya nchi UN, ndoa changa. Jamaa kajipiga kanunua Prado kamuachia mama kwa matumizi ya nyumbani.

Mke kuna siku kamuazima gari hilo rafiki yake aende na familia kijijini kwao. Gari kufika huko limekufa engine, ilibidi likokotwe hadi Dar! Sasa hivi mke anahangaika kutafuta hela kulitengeneza kabla jamaa hajarudi likizo fupi.

Natumaini hatavuka mipaka kupata hela ya kutengeneza hilo gari.
 
Hivi inakuaje mume anasafiri anaacha vitu vyake chini ya uangalizi wa rafiki wakati ana mke wa ndoa kazaa nae na watoto?

Mke ana mtoto, ni mwajiriwa na anajiendeleza kielimu. Wana magari mawili, la biashara na la kutumia wenyewe nyumbani.
Mume kapata safari ya mwaka mmoja nje ya nchi kikazi kakabidhi gari la kutembelea kwa rafiki yake, kakabidhi dereva wa gari la biashara kwa rafiki. Dereva anaweka pesa kwenye akaunti aliyopewa halafu anapeleka taarifa kwa rafiki. Matengenezo ya gari anaambiwa rafiki.
Hii imekaaje?

Nimekumbuka kipindi tupo chuo kuna jamaa alikuja na gari lake kutoka Same hadi Dar analipaki tu. Eti kuliacha kwake usalama mdogo bora awe analitazama.
Yaani unajitekenya mwenyewe halafu unacheka
 
wanawake akili zao hazionagi mbali... wanakuwaga makini kwenye vitu vya kijinga jinga tu.. mfano harusi hapo utawapenda wakiwa kwenye kamati.. na kuchagua rangi na sare..

ila vitu vya muhimu huwa hawanaga umakini kabisa
 
Kuwa mwanaume ni pamoja na kuweza kumudu kuishi vizuri na mke anayeweza kusimamia miradi yenu, lakini pia kuweza kumtambua yule asiye na uwezo huo na hivyo kutafuta njia mbadala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom