The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,187
- 10,481
Salaam wakuu!
Mimi kama mwanaume natoa haya....
Wanaume wa siku hizi baadhi yao ni kwamba tunafail sana yaani, Ona hizi kero.
Wanaume wengi ndani ya ndoa hawatoi mahitaji, wanaachia wakina mama kila kitu afu wanataka wasikilizwe hilo haliwezekani.
Mwanaume ukiombwa pesa na mwanamke unavunga na kumsema huyu demu ni chuma ulete na isitoshe ni mke wako. Wewe utakuwa ni baba au mwanaume suruali.
Unakuta msosi mezani na pesa hujaacha huo ni uzuzu na unakaa unakula.
Mwanaume unavizia mke wako anafichaga wapi pesa unaiba tena huachi hata mia huo ni upimbi.
Mwanaume unachelewa nyumbani ili usiulizwe majukumu yako na mahitaji ya nyumbani eti unazuga mahali kwenye vijiwe vya kahawa huo ni ushamba.
Mwanaume unalewa baa alafu nyumbani wanalala njaa bado unahonga malaya huo ni uchizi.
Mwanaume unasema mke wangu umependeza hujawahigi kutoa hata cent moja huo ni ufala.
Mwanaume hujui watoto wanavaa nini na kula nini na kusoma wapi huo ni ukenge.
Mwanaume hujaoa alafu unalalamika wanawake wanapenda pesa eti kuoa hutaki huo ni ukima.
Itoshe kusema wanaume sikuhizi ni wakwepa majukumu.
Na nyie wanawake mkipendwa na wanaume wa kweli msijisahau mkaona mko na wale wale wa kila siku heshimu mwanaume anayejielewa.
Haya leo niwatete wadada
NB mimi napenda kutii wajibu wangu.