Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,899
- 8,896
Ahahahaha akirudi kujibu hii coment na log outHiyo alteza bila kuwekewa Mafuta na wanaume huwa unapaki? Ni Lini wanawake mtaacha umatonya?
Jane are you affiliated to Edward Lowasa?Eti mtu wiki nzima anakutumia PM ooh Jane nakupenda. Ooh umependeza sana. Ooh you are the most beautiful girl on earth. Basi unamwambia nitumie hela ya mafuta niweke kwenye Altezza yangu nikufuate ulipo. Loooo! Longolongo zinaanza. Punguzeni uhewa nyie.
Eti mtu wiki nzima anakutumia PM ooh Jane nakupenda. Ooh umependeza sana. Ooh you are the most beautiful girl on earth. Basi unamwambia nitumie hela ya mafuta niweke kwenye Altezza yangu nikufuate ulipo. Loooo! Longolongo zinaanza. Punguzeni uhewa nyie.
Mwanamke kuhudumiwaHiyo alteza bila kuwekewa Mafuta na wanaume huwa unapaki? Ni Lini wanawake mtaacha umatonya?
Hujui kupendame siwezi kumtumia mtu hela ya mafuta wakati najua anamiguu..!!
Unajua kufua chupi? tuanzie hapo kwanza isijekuta ata kufua ujui.Hujui kupenda
nifundisheHujui kupenda
Nyie dawa yenu ni kuwafanya kwa fujo mpaka utamani kuiacha pesa ukimbie shenzi type..!Hujui kupenda
Huko siyo kupenda pls, mapenzi yana hatua! Msiharibu maana ya mapenzi tafadhaliHujui kupenda
Ladies bana, kuna jamaa yangu alimbandua mke wa rafiki yake tena si kwa kutongoza! Alimwambia tu "shem jamaa kasafiri hii baridi haivumiliki aisee...!!" Yule mwanamke akajibu niwekee mafuta ya 50,000/ tukatoane jasho.Eti mtu wiki nzima anakutumia PM ooh Jane nakupenda. Ooh umependeza sana. Ooh you are the most beautiful girl on earth. Basi unamwambia nitumie hela ya mafuta niweke kwenye Altezza yangu nikufuate ulipo. Loooo! Longolongo zinaanza. Punguzeni uhewa nyie.