oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 636
- 1,632
mamaee tamaa ndo zilokuponza.
Utafanyaje sasaDuuh ndo uache tamaa, nawachukia wanaume wanaotembea na mahouse girl. Yaan mume wangu akitoka na h,girl hapatatosha hapo home