Wanaume: Ni upuuzi kumchunga mpenzi ikiwa huwezi muhudumia

Ngoja utasikia haki sawa, ukitaja pesa tu suruali zinawabana.
Ila ukitaja kuosha vyombo utasikia wanawake wa siku hizi!!!
 
Ni upuuzi kumchunga mpenzi, mke wako asiwe na relations nyingine zaidi yako ikiwa huwezi muhudumia hata kwa kidogo ulichonacho.

Sijui nipo sawa apo?
Kuchunga ni zamani, jamaa kampa rafike yake mkewe agegede apewe 500 ya Kenya akanywe soda. kuwapata siku hizi ni rehisi mnooo, ondoka ntapata mwingine ebo
 
"If you want ur wife to be an angel,u must first create a heaven for her"
kwa wakristu neno kuhudumia na kutunza mwenzi wako lipo katika kiapo cha ndoa,siwez semea dini nyingne!
kwa mwanaume wa kikristu anaepinga kuhudumia inawezekana anajifanya kasahau au anakwepa majukumu,au siku ya ndoa alikua anawaza tu zawad ya kamat na kwenye mafundsho alikuwepo kimwil!
kwa wale ambao hawajafikia kula kiapo (wasio na ndoa)huwez kuwalaum kutoelewa hili!
kuhusu kumchunga mwenz sijui najua kumlinda ndo kiapo cha ndoa kinavosema,siwaongelei watu wa nje ya ndo mana hawa hawana commitment yeyote!sidhan km mwanadamu anachungika na ukianza kumchunga mwenzio ni waz unamapungufu unayoyafaham na ndoa yanakupa wasiwas kuwa utampoteza,mtu anaefanya wajib wake kikamilfu hana haja ya kumchunga mkewe!
 
Mambo eti wanawake watapigwa au kutoka ma wenye pesa ikiwa mume utaishiwa au kutokuwa na pesa za kutosha...naonaga story za kiovyo...sana, mwanamke akiamua ivyo wacha afanye tu...ni ushenzi tu, ni akili yake, hafai kuwa mke, aendelee kugongwa tu, haina haja kupambana nae, utaumiza akili...
 
Ni upuuzi kumchunga mpenzi, mke wako asiwe na relations nyingine zaidi yako ikiwa huwezi muhudumia hata kwa kidogo ulichonacho.

Sijui nipo sawa apo?
Wewe utakuwa mvulana bila shaka hata maana ya mke huijui.
 
Binadamu anajichunga aisee

Huo muda wa kitokula chakula chako kikashuka vizuri kisa kumchunga mtu mwenye meno 32 mnautoa wapi????
 
Ni upuuzi kumchunga mpenzi, mke wako asiwe na relations nyingine zaidi yako ikiwa huwezi muhudumia hata kwa kidogo ulichonacho.

Sijui nipo sawa apo?
Jinsia yako pliz,
Swali lako unajikanganya,
Hujui kama uliyoyaandika yametoka kwenye Ubongo wako ee?
 
Back
Top Bottom