Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

kuanzia kusuguliwa wacha romance nk....wewe kumi unaona nyingi eeh?
hahahhaa ,inaudhi hiyo,mtu anaingiza dakika mbili tu kamaliza,bora niwe single kuliko mwanaume wa hivi,
Kama ni kwenye kusuguliwa hizo kumi hana tatizo bali tatizo lipo kwako. Dakika mbili hapo kweli jipu ila kuanzia hizo 10 itakuwa unasumbuliwa na upungufu wa nguvu za kike brenda18
 
kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile....wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri..yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli? na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani
aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu, sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa
hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika
jumapili njema....
Kama hauonyeshi ushirikiano mi nafanyaje sasa....???kila unapoguswa response ni 0,kama vile nipo na mgomba kitandani....!Shughulika uone kama sijasimamia shoo hadi uhisi unaungua....!
 
Hahahahahahaaaa!

For real this is a serous case.

Niliipata hii kwa mtu X kuwa aliamua kuachana na boyfriend wake kwani aliona anamtesa tu,kiaje? ,eti anakupigia simu uende ghetoni kwake,ukienda unakuta ana midadi ya juu,anaparamia tu bila hata romance na dk 2 kashalipua halafu hoi na ndiyo kwakheri.

Nadhani hitaji kubwa sana la mwanamke ni kuridhishwa kwenye hii huduma.

Nashauri wanaumme tusiwe wavivu wakutafuta maarifa ili uboreshe kazi yako hapo utapendwa mpaka basi hata kama ungekuwa jambazi.COZ,kuna dada mmoja ana mme wake,anajua mme wake ni malaya,lakini anadai kuwa hata iweje hawezi kumuacha huyo jamaa maana kwenye uwanja ni kama MSN(Messi,Suarez,Neymar)
au AK47 na siyo gobole.
 
kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile....wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri..yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli? na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani
aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu, sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa
hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika
jumapili njema....
Mpaka kufikia conclusion hii, umekutana na wa dadkika 10 wangapi?.. Maana nahisi kama kwenye kusaka mwenye uwezo wa masaa mawili utakuwa ushaburuzwa na dakika kumi za kutosha
 
Naomba mpambano na hao walalamikaji, yeyote kati yao....afu baada ya kazi aje ashushe mrejesho humu, kwa niaba ya jinsia ME ninatoa masikitiko makuu kwa hii mambo inaendelea hapa kwa sasa:oops::oops:
 
kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile....wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri..yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli? na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani
aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu, sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa
hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika
jumapili njema....
Sijajua kama wingi au uchache wa dk ndio kigezo cha kukuridhisha

Ukikutana na mwanaume ambaye ni mwanaume kweli anayekujua na kutambua lugha yako na anayetumia viungo kisawasawa dk 10 - 20 zinatosha kabisa ww kukuacha ukiwa hoi na kila kiungo hakina ushirikiano na kingine..

Kuna vitu huwa mnavipishanisha kat yako na jamaa yako ndio vinawapelekea kutoridhika
 
kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile....wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri..yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli? na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani
aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu, sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa
hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika
jumapili njema....
heeee weee mtoto huyo anayekuonjesha achana nae tafuta mijitu iliyofura nguvu utakimbia mwenyewe, haya wee ngoja utakutana na jitu lisiloshuka hadi utaomba maji ya kunywa kabla hujashusha mzigo wee haya... nione nikuelekeze na utapima nani ni nani zaidi?
 
Back
Top Bottom