CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,469
Mkuu ushauri wako mzuri but umesema watu wajenge kisha wazipangishe,sasa wote wakisha jenga kama ulivyoshauri huyo mpangaji wa hizo nyumba zilizojengwa na kila mtu atatoka wapi? HAHAHAAAA!!
Hayo mashairi hawayazingatii wanajua wasanii wanaganga njaa tu! wanaume kibao tunaishia kuadhirika kutokana na kuendekeza vitu vya kijinga kuacha kuwekeza kwenye majumba yanayoongezeka thamani kila mwakaAamekoma, amekoma...
Amekooma...
Aamekoma, amekoma...
Amekooma...
Alidhani poa poa, kumbe sio poaaa Side Mnyamwezi...
Ni muongo mtu wa fixi aliwaharibu Mabinti...
Hana mapenzi ya kweli aliwalaghai wakina dada...
Mwishowe aliwatelekeza bila kutoa msaada...
Alikuwa mpenda sifa demu wake wa kwanza alikuwa Latifa...
Penzi halikudumu sana miezi kadhaa wakaachana...
Hii ilikuwa furaha kwake kamaliza haja zake...
Akaja akang'oa mwingine ni demu wa rafiki yake...
Yeye hatambui hilo anahamishia tu kwake...
Mkuu mimi kidogo tumepingana maana mtiririko wangu uko hviMaisha ya watanzania wengi
1.soma
2.ajiriwa
3.oa
4.jenga
yaani hapo ndio umemaliza. successful.
Kuna maisha zaidi ya kujenga jamani.
Hapana ongeza kujenga nyumba zingineMtoa mada anamaanisha sisi tuliojenga tuendelee kuhonga...
Mkuu sio ibada kuwa kila mtu aseme amina! kama ushauri niliotoa haukufai waachie wanaofaa.hili swala ni nyeti kuliko nyeti zenyewe.weka mbali mizahaMfano ww usiehonga nyumba yako umejenga wapi? Ebu weka picha ya hati ya nyumba yako hapa wakuelewe!
ukijenga nyumba mbili huku.unawatoto sita.unaona zinawatosha?! hao ndio wapangaji.think positive.sio kila mtu anakipato kikubwa mpaka afanye anasa!.wale wanaofanya hizo.anasa ndio walengwaMkuu ushauri wako mzuri but umesema watu wajenge kisha wazipangishe,sasa wote wakisha jenga kama ulivyoshauri huyo mpangaji wa hizo nyumba zilizojengwa na kila mtu atatoka wapi? HAHAHAAAA!!
Huo ufala wa kuhonga nimeshauacha ndo lilikuwa azimio langu kubwa kwa mwaka huu na kuendelea eti namhonga ili anipe papuchi kwanza nikaja kugundua kuwa narisk maisha yangu tu!!sasa hivi sihongi kudadadek ukitaka kunipa kibox manyoya nipe at ur own risk,period!Ujumbe huu ni mahsusi kwa wanaume wote waliokwenye ndoa na wasiokuwa kwenye ndoa.ambao hawajafikia viwango vya Forbes katika kumiliki hela.
Mungu anatupa fursa za kumiliki hela
wengi wetu tunaishia kuzitapanya ikifika fainali network zimeacha ku sense kazini
wamekuja wamechukua kitengo chako vijana,unaanza kuugua kwa mawazo!
ukipata hela nunua viwanja,jenga majumba ya kupangisha kadri utakavyo
weza.achana na kununua magari mawili,matatu,manne unajiona mjanja!
acha kutapanya hela kwa kuhonga. mistarehe ya wadada,mitoko,miharusi kila wiki! khah.
Achia wanao urithi.nawewe zikutunze
uzeeni! Magari,wanawake,starehe zinapita.maisha yako na ya watoto yapo!
don't say.idid not warn you!
We endelea tu kuhonga Kinabo wewe!!tena ww wanakupenda coz handsam boy km profile pic yako!Dunia nzima wanaume wanahonga na hakuna popote duniani ambako wanaume wote wamejenga...
Ameshauri wanaume ndo wajenge. Kwahiyo wanawake ndo watapanga kwenye hizo nyumbaMkuu ushauri wako mzuri but umesema watu wajenge kisha wazipangishe,sasa wote wakisha jenga kama ulivyoshauri huyo mpangaji wa hizo nyumba zilizojengwa na kila mtu atatoka wapi? HAHAHAAAA!!
kaonga lakin yule labda kama usave kutohonga now uje uhonge baadae ukiwa na Mali nyingi.hapo sawaMwanaume ukiwa na mali wanawake wapo wa kumwaga mbona.angalia mzee.Mengi