Mr Smart Money
Senior Member
- May 21, 2018
- 106
- 149
Nilimfungulia kesi mwajiri wangu kwa kuniachisha kazi unfairly tena kwa taarifa ya mdomo kwa kosa la uchelewaji wa siku moja tu
~Ni tangu mwezi April
~Kesi ipo CMA hatua ya uamuzi
~Upande wa pili hawajawahi kufika kwenye hearing lakini summons wanazipokea
~Sina mkataba wa maandishi, wala kitambulisho
~Siku naachishwa kazi niliomba barua nikaambiwa sina mkataba nao kwaiyo nipotelee mbali
~Nimefanya kazi mwaka 1
~Kwa kuwa nilikuwa sina kielelezo chochote zaidi ya uniforms nikaamua kurudi kufatilia barua ya kuachishwa kazi kwa waajiri wangu nikamuandikia barua mkurugenzi wa kampuni ila barua yangu haikupokelewa ushahidi upo ila sijaufaili
ndani ya wiki hiyo nilipewa barua ya kunitaka niandike maelezo juu ya tuhuma zangu mbili na niijibu ndani ya saa48;
1)Kuchelewa kufika kazini
2)Utoto zaidi ya siku 5 mfururizo tangu tarehe 05/04/2023 ambapo hiyo tarehe ndio siku jana yake nilikuwa nmefukuzwa kazi na nikaambiwa nisionekane tena ofsini
~Barua niliisain nikawapatia nakala moja nikaiandikia maelezo nikakubali kosa la uchelewaji ila kosa la utoto nikakanusha
Cha ajabu nilipowapataia majibu ya barua hiyo waligoma kupokea na kuniambia kwamba hatupokei majibu kwa kuwa kesi ipo CMA acha tusubiri maamuzi yatoke.
Duh nilihisi kama tayari kimeumana nshajichanganya
Dah wakuu naombeni ushauri apo natokaje
Au ndo nishayakanyaga?
Inatarajiwa kusikilizwa upande mmoja