Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 411
- 404
Wanariadha maarufu wa nchini , waliokwenda Kenya kutafuta kufuzu mashindano ya kimataifa wameambulia nafasi ya 8 Kwa Mwanariadha wa kike, Huku Wanaume wa 3 wakiambulia patupu, Huku Mmoja akishika nafasi ya Mwisho kwenye Mbio za Mita 800.
Maandalizi ya Mashindano ya Riadha Bado ni But Sana, Waziri Mchengerwa anatakiwa aanze na Kamati ya Olimpiki Tanzania TOC, aivunje yote, ndipo ashuke shirikisho la Riadha RT, Nako afumue ,
Mashindano Yaanzie mashuleni, Mtaani na kwenye Kambi za Taifa zitakazojengwa na Serikali.
Hapo, tutapata medali kibao kwenye Mbio mbalimbali za Kitaifa.