Wanaoweza kucheza na software za simu tukutane hapa

chuma16

Member
Mar 23, 2016
19
30
Nina samsung galaxy s4 lte-A nataka kuweka lollipop android version,ushauri jinsi ya kuweka.
 
Mi yangu ni android 5.0 nataka kuinstall androir 6.0 marshamallow mwenye idea tafadhar
 
nina simu yangu ya vodafone inatatizo la kuwaka. unapoiwasha inawaka mpaka logo inatokea baada ya hapo inaonesha mduara tu wa kuload.nimefanya hard reset haikusaidia.
msaada wakuu tafadhali.
 
Wakuu, nimeinstall AVG antivirus katika tablet (android) yangu. Muda wa Trial unamalizika soon. Kuna ujanja wowote wa kupata codes kwa ajili ya kuactivate ili niendelee kufaidi hii service? Thanks
 
Wakuu, nimeinstall AVG antivirus katika tablet (android) yangu. Muda wa Trial unamalizika soon. Kuna ujanja wowote wa kupata codes kwa ajili ya kuactivate ili niendelee kufaidi hii service? Thanks
Kama umeroot hiyo tab ingia google then search lucky patcher... Huwa naitumia sana kucheat payment za app nyingi na even heavy android games... Ukichemka hiyo tumia "freedom apk" nayo ni good
 
Kama umeroot hiyo tab ingia google then search lucky patcher... Huwa naitumia sana kucheat payment za app nyingi na even heavy android games... Ukichemka hiyo tumia "freedom apk" nayo ni good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…