Wanaosema Mungu hayupo NI kama Vipofu wanaosema hakuna Mwezi wala ñyota Kwa SABABU hawàwezi kuthibitisha uwèpo wake

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
26,062
62,692
WANAOSEMA MUNGU HAYUPO NI KAMA VIPOFU WANAOSEMA HAKUNA MWEZI WALA ÑYOTA KWA SABABU HAWÀWEZI KUTHIBITISHA UWÈPO WAKE

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Duniani kuna walemavu wa kimwili, kihisia, kinafsi na kiroho.

Walemavu wanaotambulika zaidi ni wakimwili kama Vipofu, viziwi, viwete, n.k.

Vipofu hawaoni làkini huweza kutumia milango mingine ya fahamu kuthibitisha uwèpo WA Baadhi ya vitu au viumbe.
Làkini vipo vitu au viumbe ambao Vipofu hawawezi kuthibitisha na hiyo haimaanishi kuwa vitu au viumbe hivyo havipo. Mathalani viumbe vyote vya angani isipokuwa Jua. Vipofu hawana uwezo wowote WA kuthibitisha uwèpo wa Mwezi na Ñyota
Kushindwa Kwao kuthibitisha haimaanishi Mwezi na Ñyota havipo.
Na hakuna namna yoyote utaweza kuthibitishia kipofu WA kuzaliwa kuwa kuna kiumbe Mwezi na Ñyota

So kipofu akiamua kubisha hakuna Mwezi na Ñyota kimsingi anahaki hizô Kwa sababu Hana uthibitisho wowote na HUWEZI kumpa uthibitisho ajue Mwezi na Ñyota zîpo juu yake angani

Lakini ni kupitia Mwezi huohuo uliopo angani Siku, miezi na miaka huhesabika ikiwemo Siku za haohao Vipofu

Kwa kipofu siô sayansi kujua kuna Mwezi na Ñyota angani kwa sababu hakuna namna yoyote ya kuthibitishia.
Kwa kipofu Mwezi na Ñyota uwèpo wake atautambua Kwa IMANi.

Mfano huo unafanana sambamba na wale Vipofu WA kiroho ambao waô hawaoni uwèpo wa Mungu kwa sababu Roho zào zina kilema cha upofu, haziwezi kuona uwèpo wa Mungu.

Zingatia kilema ni Exceptional na huja kidharura. NI nadra vilema wawe wengi kuliko Watu au viumbe vilivyokamili.

Hatà Hapo mtaani kwàke kukutana na kipofu au kiziwi au kiwete NI nadra Sana. Vivyohivyo Kwa vilema wa kiroho ni wachache na NI nadra Sana kukukutana nao.

Vilema huhitaji Upendo.
Kama unavyowajali na kuwapa special Care vilema w kimwili. Vivyohivyo onyesha Upendo WA vilema wa kihisia na kiroho.
Wanahitaji kuwajali, kuwapenda na kuwaelewa jinsi vile walivyo.

Huna haja ya kubishana nao. Kwa sababu HUWEZI Kwa namna yoyote kumthibitishia kipofu kuwa huo Mwezi n Ñyota unazoziona wewe hapo juu na yeye azione.

Acha nipumzike sasa

Robèrt Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Ni wapumbavu.

(Zaburi 53:1) MPUMBAVU amesema moyoni mwake, hakuna Mungu.

Hawajamtafuta , tena wasemeje hayupo?
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Suala la kuwepo Mungu sio la uthibitisho ni la kiimani, na wala si kwa bahati mbaya kuwa hivyo kwa sababu kwa jinsi tunavyoelezewa kuhusu huyo Mungu asingeshindwa kumfanya kila mtu kuzaliwa na ufahamu wa kumjua Mungu.

Sasa mkana Mungu si kwamba amekosa uthibitisho ndio maana anakana Mungu, bali huko kukana ndio msimamo wake kwa maana yeye haamini tu kuwepo Mungu.

Sasa huko kukutaka uthibitishe ni kukutoa tu kwenye reli sababu anajua huwezi kufanya hivyo na mwisho atumie njia hiyo kuhitimishe hakuna Mungu kisa et hauna uthibitisho.

Siku zote nasema kuwa kama kutokuwepo kwa uthibitisho wa kuwepo Mungu ndio kunafanya wakana Mungu kusema/kutokubali kuwepo Mungu basi tusingekuwa tunaona wakana Mungu kuja kukubali kuwepo Mungu ilihali hawajapata huo uthibitisho.
 
Suala la Mungu halipo kwenye concept ama Logics.ni Experientially.
Mnatakiwa ku tape into Experiential Ryrhm..ndipo utamjua Mungu..siyo just kuamini
 
Suala la Mungu halipo kwenye concept ama Logics.ni Experientially.
Mnatakiwa ku tape into Experiential Ryrhm..ndipo utamjua Mungu..siyo just kuamini

Embu tumia Logic au sayansi kumthibitishia kipofu tangu kuzaliwa kuwa angani kûna Mwezi na Ñyota
Alafu yeye kaamua kusema Hakuna Ñyota na Mwezi
 
Back
Top Bottom