Wanaoijua jikomboe high school

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,737
za saa hz jamani naomba kujua hii shule taaluma na mandhari yake kuna mtoto wangu amepangwa hapo waliandka ipo Chato Geita
 
za saa hz jamani naomba kujua hii shule taaluma na mandhari yake kuna mtoto wangu amepangwa hapo waliandka ipo Chato Geita
mie pia kuna mdogo wangu ninaemsomesha amepangwa Jikomboe HGL nasikia ilikuwaga kambi ya wachina zamani......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…