chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,133
- 25,876
Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe.
Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa?
Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa kumpopoa huyu karoti? Wazee wa komedi uswazi, tunashindwa kutupia mambo zetu kuwanyima amani?
Oyaa, tuamke, kwanza amedharau maskani, wakati imetukuza sisi.
Oyaaa, tukiwashe, tukiwashe, oyaa, Dulla wewe kausha, tupe hiyo kazi sisi, cha msingi tuangalie tu za kisungura na majani, hatuna gharama sisi. Yaani hiyo laki nane mbona mitandaoni tumekaba kila mahali tunazingua?! Tukinukishe mpaka wanuke.