Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

Mange yule mama yako wa kambo mwenye ukwasi au fedha za kutisha wa ile kampuni ya travel pale upanga ameshindwa kuwalipieni wanae wakati utajiri ulichangiwa na marehemu baba yenu.
 
HIVI NI KWELI KODI YA ARDHI FAMILIA YA MANGE WAMESHINDWA KULIPA? KWANI KODI YA MWAKA YA ARDHI NI TSH NGAPI? KODI YA ARDHI NAYOJUA MIMI KWELI KWA COMMERCIAL PLOT INAZIDI LAKI 5 KWA MWAKA? LET ASSUME HAWAJALIPA TANGU MZEE AFARIKI,JE NDIO WASHINDWE KULIPA HIYO ,LAKI 3 X15 AMBAYO NI 4.5MILIONS?
 
Naeza nkqkupiga dole LA mkn*u na
Nkakulipa!!
au unafkir na mm ni mwanafunzi kqmq wewe
Hahaha unapanic ishu ndogo kama hii? Huijui jf kumbe.. Okay ngoja ni Badili Gia angani.. Inawezekana ukawa na hiyo pesa Ila huna akili, unatetea wauza ngada, Kwa taarifa yako awamu ya TANO ni awamu nyingine kabisa hakuna mazoea, hakuna brand, hakuna Jina, hakuna kuangalia Sura.. Pole Sana mwanaume kushikwa akili na mdaku Mange kimambe
 
anakubalika au ni ulimbukeni tuu wa baadhi ya watu....hivi ni vituo vingapi vya watoto yatima vinahitaji msaada ??
basi tuacha hayo mwenyekiti wenu anayeongoza mapambano nchi kwa upande ule wa magwanda alikua anadaiwa kodi kiasi gani tukashindwa kumchangia hadi vijimtu vije kumchangia huyu bimama??
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh

Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo

Mfano walio control mind za watu wakatajirika

1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...

Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Mkui lakini unajua.kuwa hapa bongo ni crisis ? Si Gwajima tu bali manabii nadhani wamegusa kila familia !!! Ni masitiko makubwa kuwa watanzania hawajielewi wwngi wamekabidhi kuanzia oblongata mpaka cerebellum kwa hao watu wasomi kwa wasio wasomi. Watanzania hatuna uelewa wa kuchambua mambo na hatuko tayari kuendana na uchumi wa kati
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh

Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo

Mfano walio control mind za watu wakatajirika

1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...

Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Kwa ujinga uleule ndio maana Mark anataka kuwa tajiri namba moja duniani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom