ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,533
Dynamo ni bonge LA magician nimewahi kushuhudia anapaa angani kwenye moja ya vipindi VYAKE
S ndo hapo mkuu Kwa nn hawaendeleiNa wengi sio matajiri wala,pia jiulize mchawi anaingia ndani kwako kuwanga usiku huku milango yote imefungwa,kwanini asitumie hizo juhudi na maarifa kuingia benki na kuchota mihela?
Uchawi maana yake nini?Hakuna masuala ya ujanja ujanja pale.uchawi lazima utumike kwa kiasi chake
Nishindwe kukuelezeaUchawi maana yake nini?
mm nilikua najiuliza kama ww nikaenda youtobe nikaandika how to magic utaona video jinsi wanavyofanya wala sio uchawi kunavifaa sema vingiutashindwa jinsi yakuvipata mm nimejaribu yakarata naya kufanya kama unachana noti alafu unaionesha ikiwa nzima nimeweza
Preparation ni muhimu sana. Hivi nini kazi ya wale wadada wanaochezacheza kwenye magic shows?
One of the tricks ni kukuamusha mawazo yako kutoka anachokifanya kwenda kwenye wadada wanaocheza nusu uchi.
Hata me ningetamani kujua wanachokifanya had yakatokea hayo mazingaombwe
Nilikua najiulizaga kama Wana uwezo wa kugeuza chochote Kua wanachotaka mbona wengi bado n maskini? Kwa maana Kua kazi yao haiwainui au kuna Mahal wanakosea au kuna maagano flan Hutumika au hairuhusiwi kabisa kufika huko?
Nakumbuka walikuja nilipokua msingi wakageuza vijiti Kua saaa had Leo wameniacha Na maswali inakuaje Na mwenzetu asubuh ya pili akasema saa haioni tena
Natamani kufaham zaidi
Cc The bold Kwa msaada
Hiyo watu washang'amua hutumia winch iliombali na eneo la macho pia loop au waya za kuvalishwa zisizoonekana kwenye cameraDynamo ni bonge LA magician nimewahi kushuhudia anapaa angani kwenye moja ya vipindi VYAKE
Mkuu, yaani ni rahisi sana kuliko unavyofikiria, mimi pia nilidhani wanatumia supernatural powers kumbe hakuna kitu. Ni timing, choreography na sayansi ya hali ya juu.sijawah kupata jibu la hzi mada nimejaribu kufatilia sipati jibu sahih naishia kufikiria labda wanatumia majin
Hapo ni mmoja, viungo vingine ni vya bandia, kama hiyo miguu na kichwa. Yeye atakuwa kajikunjia hapo katikati kwenye hilo lililofungwaHow many people were involved in this illusion??
Black magic intend to harm??This is part of magic! White magic They call it, intended not to harm !!