WanaJF wa Dodoma, changamkieni fursa hii

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
69,796
137,054
Habari Wapendwa.
Napenda kuwataarifu kuhusu Mafunzo ya ujasiriamali kwa wakazi wa mkoa wa DODOMA
Darasa litahusika na mafunzo ya kutengeneza sabuni za mche, sabuni za unga, sabuni za maji na shampoo
Pia kutengeneza mishumaa ya kila aina
Gharama ni elf 50 siku tatu hadi tano itategemea na kasi ya kuelewa

Darasa litakua mwisho wa mwezi huu wa pili SIDO DODOMA

Kwa ambaye yupo interested na maulizo yoyote tuwasiliane kwa PM
Nb: darasa ni watu kumi tu.
Valentine njema kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…