WanaHipHop wote tukutane hapa Fid q Vs Nash Emcee (2)

Huyo Nash mc ndio nani?

Fanyeni mpango muweke ngoma zake mbili, tatu tumjue msisahau na picha yake tafadhali.
Ni balozi wa kiswahili tz now yupo Germany kwenye tamasha la kiswahili huu ni wasifu wake pia
 
Kuna wanakufofoka watano tu nchi hii,,fid,joh makin,roma,mwana fa,afande selle,,wengine ni wakal pia ila vichwa ndio hvyo hapo. Km haupo hapo waambie wakaze buti
Duh!et john makin nyimbo zake zote content zero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom