LGE2024 Wanachama CCM zaidi ya 200 Kata ya Kia wajitokeza kuchukua fomu kugombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,272
3,548
idadi ya wagombea
Wakuu,

Wanachama wa CCM zaidi ya 200 Kata ya Kia Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kuchukua fomu zakugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.


Pia soma: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Idadi ya wagombea uongozi wa CCM eneo hilo ni kubwa mno ukilinganisha na idadi kidunchu sana ya wapinzani waliojitokeza kujiandikisha dah.
wengi walipuuza na kususia zoezi hilo kiaina.

kwa hakika CCM imejipanga sana kushinda kwa kishindo uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria 🐒
 
Wafrika wanapenda uongozi jamani! Hadi uenyekiti wa kitongoji unagombaniwa hivi?
 
Back
Top Bottom