GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli kweli.
Endapo Uongozi wangu wa Klabu ya Yanga ( na hasa hasa Rais Wetu Injinia Hersi Said ambaye sijui anatupeleka wapi Yanga SC ) asipobadilika nitaachana Kuishabikia Yanga SC ninayoipenda mno na kuhamia Simba SC ambayo nitaipenda sana.
Kazi ipo leo.......
ANGALIZO
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMIYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mimi hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?