Mtepetallah
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 230
- 131
Acha waichukie ccm lkn badae wataipenda wenyewe, tupo ktk mapito magumu ambapo mwisho wake ni furaha tu . huu sio muda wa kuendeleza siasa uchwara ni wakati wa kujenga nchi upya
Hivi yule askari mwenye nyumba 40 habari zake mbona zimekuwa kimya sana?Acha waichukie ccm lkn badae wataipenda wenyewe, tupo ktk mapito magumu ambapo mwisho wake ni furaha tu . huu sio muda wa kuendeleza siasa uchwara ni wakati wa kujenga nchi upya
Jibu swaliSafari hii huo u Vuvuzera wenu ndio mmeanza kuisoma namba
Have you just realized that UKAWA is "treading on sinking sand"? Wajanja walishagundua hilo toka mwaka jana....
Wenye akili timamu huwa hawasifii na kuabudu kila kitu, hata wakikosa sukari.Ni ngumu kuwaamini tena, tangu mlivyoacha ajenda ya ufisadi mkawa watetezi wa ufisadi, wenye akili timamu kweli waliachana na nyinyi
Na pia VAT kwenye bank charges ni ya wanaukawa tuu...Nikweli kwani bei ya sukari imepandishwa kwa wana ukawa pekee ndiyo wanaisoma namba
Waliingizwa mkenge na wakenya wenye akili sasa ni kilio tuHakuna mjanja ataependa kuon anazama shimoni kama ccm ifanyavyo na kwa sasa watalii zaid ya elfu saba wamepiga chini root za kuja bongo wanahamia kenya serikali haina vyanzo vipya vya mapato wameuaingia had ma banj errors bandalin zimekwisha kifup hali mbaya sna ndani ya miez 8 tu ya uongoz hiyo miaka 5 lazima mpauke na kunyonyoka manyoua kama kuku wa kisasa ukienda dokon fungu moja na mboga za majani chainiz ni 500 badala ya 150 au 200 kama raia hawajala viwav jesh
Hahaahahaha.... Mlifikiri atawaita Ikulu kunywa juice tena,?Zidumu fikra potofu za dikteta uchwara ZIDUMU! CCM Oyee! CCM Oyee!
Yani familia yako ndio unaita wananchi wote?Hayo ni mawazo yako lkn ukweli upo palepale kuwa wananchi sasa hivi kila kona wanajuta kuichagua ccm
Kabsa kabsa mkuu...nchi hii inaongozwa na mashetani ..ndo maana yapo majitu ambayo yana abudu hayo majitu kazi yao ni kushangilia kila kituSasa hivi ni afadhali ya kipindi cha mkoloni kulipa kodi ya kichwa
Kwenye mechi za kiingilio umewahi kwenda? Uliwahi kuona ujazo ule, na wengine kukosa nafasi na kuzuiwa. Ndugu usiwatukane watz kwa vile we wala bk2Watu wenye ugumu wa maisha wanajaza uwanja mpira saa kumi na mbili alfajiri halafu washinde hapo mpka usiku? Tafuteni kick ingine nyie mafisadi