Sure, no.4 sio kwelNo 4 hapana ...
Upo vizuriiii ongezeaaa point zingine*usipende kuwa mwongeaji sana mbele za watu, kuwa msikilizaji zaidi
*Usielezee mambo yanayokuhusu kwa mtu ambaye si lazima ajue
*jitahidi kuwajua watu wanaokuzunguka mahali unapoishi ni watu wa namna gani/wanajihusisha na nin
*Usikae eneo moja zaidi ya dakika 10 ikiwa hakuna ulazima/umuhimu wa kuwa hapo
*Maeneo unayokuwa umekaa (ktk mikusanyiko, bar, club, hotel etc) hakikisha umeshajua pakutokea kwa haraka bila kudhurika endapo tukio lolote litatokea
*ukitumia chombo cha moto, kabla ya kushuka hakikisha umepaki kwa mtindo wa mwondoko (kuelekea mbele unapotokea) hii itakusaidia kuondoka kwa haraka inapotokea dharula hasa inayotishia usalama wako
NOTE: isipokuwa maeneo ambayo hawaruhusu kupaki ktk mtindo wa mwondoko mfano Bank
*PATA MAFUNZO YA SELF-DEFENSE
hapana hii ni elimu na kila mmoja anajifunza hapo kama mimi mengi nmeyajuaMkuu hupaswi kuwa mwana intel kwa kuwa ni mwepes sana wa kuandika mambo ya kiintel mitandaon hivyo bas ikiwa kweli utapata unachotafuta ni wazi kuwa utakuja tena jukwaan na kutoa asante hata kuandika yale yanayofanyika lkn pia naamin kuna kitu unakitafuta kupitia JF kujua uelewa wa jf members kuhusu ujasusi si ndio!!!
Aisee kila la kheri mkuu nakutakia mafanikio memabaada ya kusoma michango ya wanaintelligence mbali mbali. na nikagundua umuhumu mtu kuishi kiitelligence. na kilicho nifanya nifikirie zaidi ni namna gani niweze badilisha maisha na kuishi maisha ya kintelligence zaidi.
hata ukiachana hivyo siku hizi uhalifu umeongezeka sana na kwa kupitia hilo inamaana na inafaa kila mtu awe mwanaintelligence.
ni uzi wa mwanaintelligence mmoja baada ya kusema kwamba zaidi 50% ya watu duniani wanaroho mbaya.
haya ni machache ambayo nimeanza nayo.
1 ninapo toka nyumbani sina njia maaulumu ya kupita wala sina muda maalumu wa kurudi nyumbani.
2 na ninapo kuwa njiani sitembei mwendo wa taratibu naogopa watu wanaweza kuniona ni mdhaifu.
3 kama nilikuwa nakula chakula ikitokea dharula yoyote na nikiludi tena hicho chakula sili.
4 sitaki kufuatilia mambo ambayo hayanihusu.
pamoja na yote hayo lakini naona bado sijakamilika na ninaomba mniupdate.
Safi ni somo zuri kuwa na tahadhari-Unaposafiri hakikisha hakuna mtu anayejua kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo..
-ila la kutokuwa na njia moja ya kwenda na kurudi nyumbani nalifanya pia, vile vile kutokuwa na muda maalum
-usizoee kula sehemu moja peke yake
Vitabu gan mkuu unaweza kutoa majina yake na link za you tubeSoma vitabu vya kijasusi au angalia video YouTube zinaweza kukupa vitu zaidi