Wana CCM waliomudu nafasi ya Katibu Mwenezi Taifa ni Polepole na Shaka

Chama kinabadilisha ili kuendana na wakati au kuupa wakati mtu wa wakati husika ambaye anahitajika kwa wakati huo, jambo ambalo linakubalika na kutakiwa sana katika siasa za kisasa na kwa wenye kuzingatia sayansi ya siasa. Kuna mchezaji anatakiwa aingie dakika fulani kulingana na mechi na aina ya matokeo yanayohitajika kwa wakati huo.

Katika siasa usipobadilika kulingana na wakati basi wakati utakubalisha tu na ukifika wakati ukalazimishwa na wakati Kabla ya wewe kufanya mabadiliko kulingana na wakati basi utaumia sana tena sana katika kuendana na wakati .
 
Makonda atawasambaratisha Wapinzani wasipobasilika.

Vijana wengi wanamkubali sana Makonda .

Dr. Slaa na maalim Seif walikua ni makatibu wakuu Toka Upinzani waliokua wanaojua siasa vilivyo.
Kwa Sasa Upinzani umepooza sana.

Wapinzani hawana Dira maalumu Kama ilivyo CCM.
Mbowe ni mpinzani mahiri mwenye msimamo Lakini ameshindwa kuzisoma siasa za watanzania Wa Hali ya Chini.

CCM 2025 Ilikua iwekwe makumbusho Lakini kutokana na Upinzani kuungana na wanyonyaji kulamba Asali CCM itaondolewa Kwa rehema za MUNGU pekee.
Polepole
Gwajima
Bashiru
Ndugai
Majaliwa
Mpina
Mwakyembe
Mrisho Gamboa
Makonda
Bado ni watetezi kindakindaki Wa Wananchi maskini wanaohitaji kutetewa na kupata mkate wao halali katika nchi iliyoumbwa na Mungu na SIO kunyonywa na kutaabika chini ya Matajiri Wenye hulka za kinyama na wasioshiba pesa Hata walipewa Dunia Nzima watabuni mbinu za ulaghai ,Unyonyaji na fitina.

Makonda ni Wa kumwangalia Kwa akili sana mana Ana kipaji kikubwa sana katika siasa za Wanyonge ambao ndio wapiga kura wengi. Kuwadharau wanyonge ni kujichimbia kaburi.

Makonda alitakiwa apambanishwe na John Heche.
Mwenyekiti Wa CCM mbadala wake SIO Mbowe ni Lisu.
Lisu Ana siasa za Tofauti na CCM Lakini Mbowe ni moja ya kundi la wapigaji.
Ni Awamu ya wapigaji hivyo Mbowe Hawezi kuitikisa hii CCM ya wapigaji Wala Zito Kabwe.
Yule Wa CCM ,Yule Wa Chadema na Yule Wa ACT Wazamiauhondo wote ni wapigaji na Wenye uchu mkubwa sana Wa fedha na madaraka na Mali. Hawa ni walevi Wa Mali na watumwa mbele ya Mali. Hawa Hata kuingia kwenye ufalme Wa MUNGU ni mpaka Tembo aingie kwenye Tundu la Sindano.
 
Chadema inawatu wanye IQ kubwa mno sema ndio ivo hawapati nafasi kabsa kila siku chama kinazidi kudidimia kwa viongozi kukalia viti hawataki mawazo mapya kabsa
F5-CfFjWcAA4mOU.jpeg
 
Hivi kwanini CCM mnabadilisha badilisha nafasi ya Katibu Mwenezi Taifa? Shida ni nini?

1. Nape
2. Polepole
3. Shaka
4. Mjema
4. Makonda

Nape ni Legend, hakuna wa kumfikia kati ya wote hao.

Kuna Kijiji nilienda watu wanakumbukumbu Nape na Kinana walifika eti kukipigania Chama.
Kwangu mimi walioitendea haki ni Nape na Polepole tokea ametoka Polepole hiyo nafasi imekuwa wazi
 
Hivi kwanini CCM mnabadilisha badilisha nafasi ya Katibu Mwenezi Taifa? Shida ni nini?

1. Nape
2. Polepole
3. Shaka
4. Mjema
4. Makonda

Nape ni Legend, hakuna wa kumfikia kati ya wote hao.

Kuna Kijiji nilienda watu wanakumbukumbu Nape na Kinana walifika eti kukipigania Chama.
Kuna Mdeme pia
 
Chama kinabadilisha ili kuendana na wakati au kuupa wakati mtu wa wakati husika ambaye anahitajika kwa wakati huo, jambo ambalo linakubalika na kutakiwa sana katika siasa za kisasa na kwa wenye kuzingatia sayansi ya siasa. Kuna mchezaji anatakiwa aingie dakika fulani kulingana na mechi na aina ya matokeo yanayohitajika kwa wakati huo.

Katika siasa usipobadilika kulingana na wakati basi wakati utakubalisha tu na ukifika wakati ukalazimishwa na wakati Kabla ya wewe kufanya mabadiliko kulingana na wakati basi utaumia sana tena sana katika kuendana na wakati .
Sawa ongea kwa sauti ya chini usiwaamshe jamaa zetu bado wamelala.
 
Makonda atawasambaratisha Wapinzani wasipobasilika.

Vijana wengi wanamkubali sana Makonda .

Dr. Slaa na maalim Seif walikua ni makatibu wakuu Toka Upinzani waliokua wanaojua siasa vilivyo.
Kwa Sasa Upinzani umepooza sana.

Wapinzani hawana Dira maalumu Kama ilivyo CCM.
Mbowe ni mpinzani mahiri mwenye msimamo Lakini ameshindwa kuzisoma siasa za watanzania Wa Hali ya Chini.

CCM 2025 Ilikua iwekwe makumbusho Lakini kutokana na Upinzani kuungana na wanyonyaji kulamba Asali CCM itaondolewa Kwa rehema za MUNGU pekee.
Polepole
Gwajima
Bashiru
Ndugai
Majaliwa
Mpina
Mwakyembe
Mrisho Gamboa
Makonda
Bado ni watetezi kindakindaki Wa Wananchi maskini wanaohitaji kutetewa na kupata mkate wao halali katika nchi iliyoumbwa na Mungu na SIO kunyonywa na kutaabika chini ya Matajiri Wenye hulka za kinyama na wasioshiba pesa Hata walipewa Dunia Nzima watabuni mbinu za ulaghai ,Unyonyaji na fitina.

Makonda ni Wa kumwangalia Kwa akili sana mana Ana kipaji kikubwa sana katika siasa za Wanyonge ambao ndio wapiga kura wengi. Kuwadharau wanyonge ni kujichimbia kaburi.

Makonda alitakiwa apambanishwe na John Heche.
Mwenyekiti Wa CCM mbadala wake SIO Mbowe ni Lisu.
Lisu Ana siasa za Tofauti na CCM Lakini Mbowe ni moja ya kundi la wapigaji.
Ni Awamu ya wapigaji hivyo Mbowe Hawezi kuitikisa hii CCM ya wapigaji Wala Zito Kabwe.
Yule Wa CCM ,Yule Wa Chadema na Yule Wa ACT Wazamiauhondo wote ni wapigaji na Wenye uchu mkubwa sana Wa fedha na madaraka na Mali. Hawa ni walevi Wa Mali na watumwa mbele ya Mali. Hawa Hata kuingia kwenye ufalme Wa MUNGU ni mpaka Tembo aingie kwenye Tundu la Sindano.
Huwa nawaambia Makonda muangaliien kwa tahadhar. Siku zote wakubwa wanapenda ubunifu. Na jamaa ni mbunifu. Hiv unajua naumia sana nikiona magari yanaoza maeneo mabalimbali. Nakumbuka sana ule ubunifu wa madifenda. Na mpaka leo nayaona yanadunda. Je haiwezekan tena ?
 
Chama kinabadilisha ili kuendana na wakati au kuupa wakati mtu wa wakati husika ambaye anahitajika kwa wakati huo, jambo ambalo linakubalika na kutakiwa sana katika siasa za kisasa na kwa wenye kuzingatia sayansi ya siasa. Kuna mchezaji anatakiwa aingie dakika fulani kulingana na mechi na aina ya matokeo yanayohitajika kwa wakati huo.

Katika siasa usipobadilika kulingana na wakati basi wakati utakubalisha tu na ukifika wakati ukalazimishwa na wakati Kabla ya wewe kufanya mabadiliko kulingana na wakati basi utaumia sana tena sana katika kuendana na wakati .
Recycling sio mabadiliko, labda hujui mabadiliko ni Nini?
 
Ukiangalia kihuni huni na kuropoka ovyo kama mlevi basi Nape aliimudu.

Ukiangalia ki professionalism na kuitumikia nafasi yake ki ueledi basi Pole Pole aliiweza.

Sasa tutakuja kuona sura mpya ya uenezi ambayo ni ujeuri, kiburi, ubabe wa kiboya na watu kuvunjiwa heshima, hii ni chini ya Bwana Bashite.
 
Back
Top Bottom