Wamarekani wameichoka Demokrasia?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
45,291
63,709
Karibia nusu ya Wamarekani wanamsapoti na wangependa awe Rais wao mtu anayehusudu madikteta kuanzia Xi, Putin, Kiduku hadi Hitler!
 
20241026_223734.jpg
Screenshot_20241026-224328_X.jpg
20241026_225553.jpg
 
Mtu yeyote anayejua masuala ya kijeshi na kivita atakwambia anahitaji majenerali kama aliokuwa nao Hitler.

In modern world, halijawahi kuwepo jeshi lenye maofisa wazuri kama Wehrmacht kuanzia Heer (Army), Luftwaffe (Airforce) na Kriegsmarine (Navy).

Hitler alikuwa na maofisa wazuri wa logistics, defensive warfare, offensive warfare, siege, mavazi, mobility, matumizi mazuri ya bajeti, nidhamu, technology na almost kila kitu. Hili hata Allies walilijua na hawakuficha.

Wanajeshi huwa hawadharau maadui zao kisa wamewashinda, labda wanajeshi uchwara. Upate wapi jeshi lenye maofisa walioshindikana kama:

Field Marshal Erwin Rommel (Desert Fox)
Field Marshal Erich von Manstein.
Field Marshal von Paulus
Field Marshal Wilhelm Keiter
Field Marshal Albert Kesselring
Field Marshal Walter Model huyu pekee ndie aliweza kumbishia Hitler na kufanya anavyoona inafaa, na aliisaidia sana Ujerumani dhidi ya Soviets.
General Einz Guderian ndio muasisi wa Britzkrieg.

Ujerumani ilishindwa vita sababu ya siasa ila sio sababu ya jeshi. Nchi gani ingeweza kupigana vita miaka mitano, ikiwa na uchumi sio mkubwa sana alafu ipigane na mataifa makubwa chungu nzima.

Bahati mbaya watu huwa tunasema mabaya ya Hitler tu. Sifa moja ya Hitler, hakuwa anafanya kazi na vilaza.
Maofisa wake wote walikuwa experienced, waliongoza kwenye military schools walifaulu kwa alama za juu, walikuwa na mipango ya maana na walistahili sana nafasi zao.
Mkuu wa jeshi la anga alikuwa rubani WW1 na alipiga ndege nyingi za adui, maafisa wake wengi hawakuwa wazee walikuwa kwenye 45 kwenda 50. Nilisoma nafasi nyingi alizokuwa anateua ni watu wanaojua sio average. Na alikuwa anapandisha cheo mtu anayefanya kazi vizuri.

Hitler hakuwa msomi ila aliwapenda wasomi wanaompa ideas ngumu ambazo hata hajui zinawezekanaje, anawapa nafasi watumikie taifa.
 
Trump anaongelea majenerali ambao watakuwa loyal kwake, sio hayo mambo mengine ambayo hata hayajui.
20241026_231558.png
 
Karibia nusu ya Wamarekani wanamsapoti na wangependa awe Rais wao mtu anayehusudu madikteta kuanzia Xi, Putin, Kiduku hadi Hitler!
View attachment 3136126
Sasa marekani ilivyo oza unategemea nini ? Kama wanawake kwa wanawake, wanaume kwa wanaume wana miliki watoto wewe unaona nchi inaelekea njia sahihi au shimoni
 
Mtu yeyote anayejua masuala ya kijeshi na kivita atakwambia anahitaji majenerali kama aliokuwa nao Hitler.

In modern world, halijawahi kuwepo jeshi lenye maofisa wazuri kama Wehrmacht kuanzia Heer (Army), Luftwaffe (Airforce) na Kriegsmarine (Navy).

Hitler alikuwa na maofisa wazuri wa logistics, defensive warfare, offensive warfare, siege, mavazi, mobility, matumizi mazuri ya bajeti, nidhamu, technology na almost kila kitu. Hili hata Allies walilijua na hawakuficha.

Wanajeshi huwa hawadharau maadui zao kisa wamewashinda, labda wanajeshi uchwara. Upate wapi jeshi lenye maofisa walioshindikana kama:

Field Marshal Erwin Rommel (Desert Fox)
Field Marshal Erich von Manstein.
Field Marshal von Paulus
Field Marshal Wilhelm Keiter
Field Marshal Albert Kesselring
Field Marshal Walter Model huyu pekee ndie aliweza kumbishia Hitler na kufanya anavyoona inafaa, na aliisaidia sana Ujerumani dhidi ya Soviets.
General Einz Guderian ndio muasisi wa Britzkrieg.

Ujerumani ilishindwa vita sababu ya siasa ila sio sababu ya jeshi. Nchi gani ingeweza kupigana vita miaka mitano, ikiwa na uchumi sio mkubwa sana alafu ipigane na mataifa makubwa chungu nzima.

Bahati mbaya watu huwa tunasema mabaya ya Hitler tu. Sifa moja ya Hitler, hakuwa anafanya kazi na vilaza.
Maofisa wake wote walikuwa experienced, waliongoza kwenye military schools walifaulu kwa alama za juu, walikuwa na mipango ya maana na walistahili sana nafasi zao.
Mkuu wa jeshi la anga alikuwa rubani WW1 na alipiga ndege nyingi za adui, maafisa wake wengi hawakuwa wazee walikuwa kwenye 45 kwenda 50. Nilisoma nafasi nyingi alizokuwa anateua ni watu wanaojua sio average. Na alikuwa anapandisha cheo mtu anayefanya kazi vizuri.

Hitler hakuwa msomi ila aliwapenda wasomi wanaompa ideas ngumu ambazo hata hajui zinawezekanaje, anawapa nafasi watumikie taifa.
20241026_231433.jpg
 
Karibia nusu ya Wamarekani wanamsapoti na wangependa awe Rais wao mtu anayehusudu madikteta kuanzia Xi, Putin, Kiduku hadi Hitler!
View attachment 3136126
Dikteta ni nani? Mbona hao Kina Biden wanamtambua Prince MBS wa Saudia kwani sio dikteta? Au mbona wanamhusudu Kagame kwani sio dikteta? Au dikteta ni pale tu anapokua adui wa USA?
 
Tump hana shida bali vyombo vya habari vyenye mrengo wa kushoto vimekua vikimchafua na kumzushia uongo tangu alipotangaza nia ya kugombea uraisi kupitia chama cha Republican.

Tazama hiyo podcast yote ya leo ya How Rogan ili angalau umtendee haki mzee Trump. Kuleta kipande kimoja tu pamoja na uzushi wa left leaning mainstream media (fake news) sio sawa .

Kamala Harris hatoshi hata kufunga kamba za viatu vya Donald Trump. She is a plant by the deep state ambaye hatakuwa pale kwa maslahi ya wamarekani. Wamarekani walikua na maisha bora sana wakata wa awamu ya Trump kuliko awamu ya Biden/Harris.

Sababu zitakazo mpa Trump ushindi ni gharama kubwa za maisha,wahamiaji haramu,usalama,uhuru wa kujieleza,over regulations kwenye biashara pamoja na haki za kumiliki bunduki.
 
Marekani imeoza jeshi limejaza wasenge na trump anapinga wasenge kupewa haki sehemu muhimu kama majeshini.

Nchi inayo entertain wasenge to the maximum hiyo ni failed state na marekani huko ndiko ilipo kwenye kuzama.

Mfumo wa elimu wa marekani una promote wasenge to the maximum wakati wenzao wachina wana kazia sayansi na teknolojia kwa sana na wala marekani hawashituki wanapoelekea watoto hata jinsia zao hawazifahamu
 
Ujerumani ilishindwa vita sababu ya siasa ila sio sababu ya jeshi. Nchi gani ingeweza kupigana vita miaka mitano, ikiwa na uchumi sio mkubwa sana alafu ipigane na mataifa makubwa chungu nzima.
Axis powers- Ujerumani, Italia na Japan.
Pia Ujerumani ilijipatia maeneo mengi kuelekea wakati wa vita kwa sababu ya appeasement policy.
 
Back
Top Bottom