Waliovyamiwa na Mabunduki,Wametoa picha juu ya mapambano ya MADAWA

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Natafakari tu.Hivi kweli kama wauza unga waliitwa kwa upole kiasi kile.Iweje wasamaria wema walioonyesha kwa vitendo kuunga mkono juhudi za serekali wavamiwe kwa nguvu ile?Tena na bunduki usiku mkubwa?
Nadhani ingekuwa wale ni wauzaji kweli.Wangekuwa mahabusu leo hii.Na tungeunga mkono uvamizi.Ila kumvamia raia mwema kwa nguvu ile.Inatoa picha ya ukatili,dharau na ulevi wa madaraka uliopitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…