S Salary Slip JF-Expert Member Apr 3, 2012 48,673 149,860 Jan 29, 2016 #1 Wananchi waliovamia shamba la mh.Sumaye lililoko wilayani Kinondoni,wamepewa wiki 2 waondoke. Mgogo huo umemkutanisha Sumaye, mkuu wa wilaya ya Kinondoni,bwana Paul Makonda na wananchi waliovamia shamba hilo. Chanzo:Channel 10.
Wananchi waliovamia shamba la mh.Sumaye lililoko wilayani Kinondoni,wamepewa wiki 2 waondoke. Mgogo huo umemkutanisha Sumaye, mkuu wa wilaya ya Kinondoni,bwana Paul Makonda na wananchi waliovamia shamba hilo. Chanzo:Channel 10.
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,318 50,531 Jan 29, 2016 #2 Kama sumaye anamiliki kihalali basi wananchi wawe wapole ingawaje inauma sana jinsi wakubwa walivojhodhi maeneo makubwa
Kama sumaye anamiliki kihalali basi wananchi wawe wapole ingawaje inauma sana jinsi wakubwa walivojhodhi maeneo makubwa
Sibonike JF-Expert Member Dec 23, 2010 17,294 18,027 Jan 29, 2016 #3 Utawala wa sheria uchukue mkondo wake. Kama kuna haja, serikali ndiyo ichukue na kuwagawia wananchi. Tukiendekeza watu kujitwalia kama walivyofanya shamba la Sumaye, mwisho wake utakuwa mbaya. Kuna hatua Lukuvi ameanza kuchukua na ndiyo njia sahihi.
Utawala wa sheria uchukue mkondo wake. Kama kuna haja, serikali ndiyo ichukue na kuwagawia wananchi. Tukiendekeza watu kujitwalia kama walivyofanya shamba la Sumaye, mwisho wake utakuwa mbaya. Kuna hatua Lukuvi ameanza kuchukua na ndiyo njia sahihi.
MOTOCHINI JF-Expert Member Jan 20, 2014 27,778 30,749 Jan 29, 2016 #4 Itakuwa vibaya maana huyu naye ni jipu kubwa