Waliombeba Makonda wamtelekeza rasmi

Siasa zinawafanya muwaze Hisia za ovyo. Unaona clouds hawana mambo mengine ya kuendelea nayo .. Makonda anabebwa na kutetewa na MUNGU na wakazi zaidi ya million 2-3. Na hii itaendelea Kwa kipindi chote
Labda wew peke yako ndo unambeba
 
MBONA wewe /sisi tunamkosea mungu kila siku Lakini ameendelea kutupa mvua ameendelea kutulinda kwenye hili anga. Unashangaa mungu kumtetea mwizi wa Cheti? Humjui mungu vizuri.. Mwisho WA chuki ni aibu. Mnaosubiria Cheti Endeleeni kusubiri tuone hio kesi itaishaje. Na ikumbukwe mahakama imekuwa ikitoa haki refer kesi mlizoshinda. Msije mkatoa visingizio vingine
Mungu haleti mvua kwasababu ya mwizi kama wew, Mungu analeta mvua kwasababu kuna viumbe wake wema wanahitaj hiyo neema ya mvua na wew ndo unafaidika kwa bahat mbaya lkn kusudio halikuwa lako..... Soma vitabu vya Dini utaelewa
 
Makonda kwangu ni shujaa wa pekee ktk kunusuri kizazi kinachoangamia kila kukicha.

Amethubutu kitu ambacho hata Awamu ya NNE walijaribu lakini kuna watu walipoteza maisha.

Mambo mengine hayo ya vyeti tunayaachia mamlaka husika
 
Huu ujuaji ndio umewafikisha Hama, mlivutiwa alipomuweka kubenea ndani. Nilisema hapa raisin kuwarudisha kajipa shida na kuonyesha Hans nia y'a amani. Sa sa kufeni nae.
Ile laana ya kumkamata Kubenea na kumpiga gwala mzee wa watu haitomwacha kamwe .
 
Makonda kwangu ni shujaa wa pekee ktk kunusuri kizazi kinachoangamia kila kukicha.

Amethubutu kitu ambacho hata Awamu ya NNE walijaribu lakini kuna watu walipoteza maisha.

Mambo mengine hayo ya vyeti tunayaachia mamlaka husika
Wauza unga wa kweli Makonda anawajua , lakini hakuwataja , wewe unaamini NYANDU TOZI ndio muuza unga wa D'salaam ?
 
Siasa zinawafanya muwaze Hisia za ovyo. Unaona clouds hawana mambo mengine ya kuendelea nayo .. Makonda anabebwa na kutetewa na MUNGU na wakazi zaidi ya million 2-3. Na hii itaendelea Kwa kipindi chote
Mungu hamfichi mnafik,nadhan umeona zile footage za CCTV kuhusu hyo unae mtetea,shame on you
Kumbe anajifanya anapambana na dawa za kulevya kumbe ni mwizi tuh

Daudi bashite mwehu sana
 
Wauza unga wa kweli Makonda anawajua , lakini hakuwataja , wewe unaamini NYANDU TOZI ndio muuza unga wa D'salaam ?
Makonda hakutaja wauza unga jamani ila alitaja majina ya watu ambao inasemekana wanahusika na hiyo biashara aidha kwa kutumia kusafirisha au kuuza ndiyo maana aliwaambia walipoti Polisi kwa mahojiano.

Kama wako Clean wanarudi uraiani bila shida na kama kuna viashiria vyovyote baada ya interrogation then Polisi wanaendelea na wewe ili wajua ukweli.

Kwangu Mimi si kuona ubaya wa hilo kwa Makonda!
 
Gwajima alijishughulisha wapi na unga ?
 
20170318_040425.jpg

Na wewe ni mmoja wao nini?
704fdd038c847890d030bbfbad59489e.jpg
 
Back
Top Bottom