Mathayo Christopher JF-Expert Member Dec 15, 2013 411 286 May 30, 2016 #1 Napendekeza wale wanafunzi kwa vile walichaguliwa kisiasa na kuepusha dhana ya waalimu wa tanzania kimbilio la waliofeli basi ningeshauri wapelekwe J.K.T .au VETA hakuna namna tusihalalishe vitu maana kesho mtaanza kuwapondea wakiharibu elimu yetu.
Napendekeza wale wanafunzi kwa vile walichaguliwa kisiasa na kuepusha dhana ya waalimu wa tanzania kimbilio la waliofeli basi ningeshauri wapelekwe J.K.T .au VETA hakuna namna tusihalalishe vitu maana kesho mtaanza kuwapondea wakiharibu elimu yetu.
Mathayo Christopher JF-Expert Member Dec 15, 2013 411 286 May 30, 2016 Thread starter #2 nimetoa maoni tu kama mwl kitaaluma
N ngonani JF-Expert Member Aug 27, 2012 1,366 597 May 30, 2016 #3 Wazo kuntu,ni kweli huu muda wa kusubiri majadiliano ni bora wangeenda JKT,ili watakapomaliza wasitakiwe tena kwenda huko
Wazo kuntu,ni kweli huu muda wa kusubiri majadiliano ni bora wangeenda JKT,ili watakapomaliza wasitakiwe tena kwenda huko